Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

mwanamke mzuri ni mwenye akili nzuri... sura kalio kila mwanamke analo siku hizi huku mjini
Hahahahaaa. Lakini nachukua wanaume wadhalilishaji na wenye tamaaa kama huyu.
Kama hampendi asiguse na pesa zake. Wanatuaibisha na huu ni wizi
 
Hahahaa dooh eti sura ya baba..aah akutukanaye hakuchagulii tusi...
Ila kama hauko comfortable chukua unaempenda wewe sura maana mimi kutembea tu na mtu nisiekuwa comfortable nae naweza konda sikupatii picha
 
Hahahahaaa. Lakini nachukua wanaume wadhalilishaji na wenye tamaaa kama huyu.
Kama hampendi asiguse na pesa zake. Wanatuaibisha na huu ni wizi

Kwakweli huuu nao ni ujambazi wa aina Yake.
 
Aisee muda mwingine hata mimi ninaesoma huu Uzi wako najiona bwege kwa huu upuuzi unaotaka kuufanya tena ukishilikiana na dadaAko.
Aut mnatumia pesa yake bado mnakuwa na nyoda.
 
Utafikiri yeye anaweza uumbaji, mbaya wewe ndie mzuri na uandunje wako!!
 
Na uondoke Kama ulivyo ingia kwake, mali zake zote ziache na ukatafute kazi sehemu nyingie sio usimamie mali zake. Mazafanta kabisa wewe
 
daah! yani mpaka naona aibu, kitu ukifanye wewe aone aibu mtu mwingne..
duuuh!! kama huyo demu kakushinda tafuta handsome boy akuoe.. mana hamna namna
 
sasa na wewe kwanini ulikubali kutoka kimapenzi na mwanamke mwenye sura ya baba yake?!
 
Sikuona kama kulikuwa na haja ya kuomba ushauri hapa.
Mungu kakupatia mke mwema anaye kupenda kwa hali uliyo kuwa nayo...utataka kuangukia kwa ma changu...
Nakuomba ufunge ndoa Haraka...wala haihitaji ushauri

Tunapo angalia mke huwa ni tofauti na kuangalia msichana wa kutoka naye....
Huyo ni mke na ni zawadi mungu kakupatia...usije kurudi hapa kulala mika
Hiyo ya wewe kuwa mrembo haikuwa na umuhimu hapa...
 
Halafu wanaume nyie nyie ndo mnaoleta nyuzi za kuponda single moms na watoto wao haramu hamuoni aibu?? Kwa tabia kama hizi mnategemea nini??? Mfyuuuu mwanaume umeolewa mda wote huo sasa ndo unajiona kidume unataka kuoa! Shame on you
 
sasa na wewe kwanini ulikubali kutoka kimapenzi na mwanamke mwenye sura ya baba yake?!

Teh teh kwani kumfanana baba kuna ubaya? Mbona yeye amemshukuru Mungu kua mtoto kamfanana sana kwa kila kitu.
 
bado hujakuwa ww niunganishe nae nifunge nae ndoa mm nadhani huyo ana focus ya maisha na sio utoto uliokuwa nao ww nyambafu'' ungekuwa karibu yangu ningekukata kofi''
 
Kwanza huna akili, pili mpumbavu, vilevile ww ni mjinga wa mwisho kabisa duniani, mwache huyo mwanamke uone kitakachokupata, unafikiri kwa kutumia makalio? (hayo yoooote niliyoyaandika yatakuhusu wewe endapo tu utamwacha huyo mwanamke),usiniuluze kwanini~ over.
 
kwanini wanaume tunadhalilisha uanaume wetu kiasi hiki...nikikuita wewe ni changudoa wa kiume utanilaumu mkuu...umekaa nae umezaa nae hadi dada wa watu anataka ndoa ndo unaleta ukahaba wako! hebu tuwe wanaume basi unatudhalilisha sana wanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom