Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

tena pesa anapata kwenye mtaji wa dubwana sasa amuache akaoe warembo aone kama hajaolewa na uzuri wake .. pyuuuu halafu mwanaume anajiona mzuri kiruuu sijui wanawake wanawaokotaga wapi haya majianaume isiyo tafakari wahi
unaongea kujichosha sungura tope huyu kizonta kabisa hajielewi
 
2bu dhambi ni kubwa!!yan ww pa1 na family yako ni wapuuz cjawah kuona,pole yenu!!
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Umemtumia dada wa watu na mali zake umezitumia hadi kuwasaidia kwenu mkaonekana watu then sasa hivi unajiona mjanja kumuona dada wa watu ni mmbaya..... Kwani hukuliona hilo siku zote? Acha utoto kuwa mtu mzima
 
wanaume wajinga kama ww sasa ww umependa sura au **** yake we komaa nae huyo kakutoa mbali mshikilie sura kitu gani????
 
Familia yako na hao marafiki zako ulipokuwa choka mbaya walikisaidiaje?!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Haya maandishi yako they say a lot kuhusu hii ishu; kwanza haya maneno yanaonyesha humpendi hata kidogo huyo mzazi mwenzio!! Hakuna mwanaume anayeweza kuongea maneno ya aina hii kwa mwanamke anaempenda, pili haya maneno yanaonyesha pia humuheshimu huyo mzazi mwenzio, hata kwa heshima ya kukuletea kiumbe duniani, tatu yanaonyesha wewe ni mwanaume usiejielewa kabisa!! Maana, mapenzi yananogaje kwa mtu ambae humpendi wala kumheshimu kwa kiasi hicho? Mwanaume anaejielewa vizuri, angemwambia huyo dada tangu mwanzo kabisa kuwa kama unataka tuwe pamoja ujue kabisa ni kwa ajili ya ku- have fun tuu, do not expect anything more than that,kwa sababu mimi moyo wangu haupo kwako kabisa na asingefikia hatua ya kuishi na huyo dada achilia mbali kuzaa nae!!
Tatizo lako ni kwamba tuu hujielewi, hivi kwani ndoa ni nini? Maana hapo ulipo kwa sheria ya kiserikali, upo kwenye ndoa tayari! Na kwa sheria ya maumbile pia, upo kwenye ndoa tayari. Wewe unafikiri andoa ni vile kuvaa gauni na suti na kupigiwa vigelegele na kwenda ukumbini kula na kunywa? Ndoa ni kinachotokea kati yenu mnapokuwa faragha, na ushahidi mzuri wa hilo ni hicho kiumbe mlichokileta duniani. Tena kwa bahati mbaya, kwa tafsiri ya kijamii ya ndoa, hapo wewe ndie uliyeolewa.
Haya maneno yanazidi kuonyesha tatizo kubwa katika hii ishu, kama nilivyogusia hapo awali kuwa ni wewe kutokujielewa!! Unataka nini kwa mwanamke ambae unamhitaji awe mke wako? Awe na pesa na uwezo wa "kukuoa" kama huyo uliezaa nae? awe mzuri na matak*o makubwa na chuchu saa sita kama huyo rafiki wa mdogo wako? Awe anasifiwa na ndugu na marafiki? Awe ni mwanamke mwwenye akili za maisha na attitude ya kupambana na maisha?
The bottom line is, You have to man up now, at least once in your life and make a decision kama mwanaume anayejielewa na kujitambua. Anayejifahamu yeye ni nani, na ni kitu gani anachokihitaji katika maisha, na ni kipi asichokihitaji. Una machaguo mawili;
1.Mueleze huyo dada uliezaa nae na unayeishi nae kuwa humpendi, wala hujawahi kumpenda,ulikuwa nae kwa ajili ya kuenjoy nae maisha na kuspend pesa zake, na sasa ni muda wa kuendelea na maisha yako, kisha umuoe huyo "mlimbwende" uliemsifia.
2.Ujikaze kisabuni, uendeleze maisha na huyo mzazi mwenzako, ujifunze kuishi nae na kukubali kuwa huyo ndie mke wako.
Kama unavyoona, hakuna uamuzi rahisi kati ya hayo machaguo hapo juu. Kila chaguo lina "consequences"/outcomes zake ambazo itabidi uzikubali na kuzichukua kama zinavyojitokeza, wahenga wanasema, "utalinywa kama ulivyolikoroga".
Over and out.
dexter dexter miss chagga gfsonwin tatty Mafikizolo Jerrymsigwa Paulo Sergio De Souz Fion lara 1
Sijui kama amekuelewa,wanaume wanazidi kupungua dunia ya leo
 
Wadau naomba niwasalimu

Kuna huyu dada tulisoma wote high school, hatukuwahi kuwa marafiki wala hatukua na ukaribu wowote, yy alikua msongo sana, ni yy na kitabu, kitabu na yy, hata hivyo hakua mzuri kama mabinti wengine, ndio maana wengi hatukuhangaika nae

Yy aliendelea na chuo, mm nilikwama sikupata principle pass za kuweza kuchaguliwa nikaazimia nitaunga unga unga hela ikipatikana

Almost 7 yrs later tukagongana mjini, akiwa kwenye usafiri wa nguvu, in short since that day akawa resi sana, mara tutoke usiku, mara movie, akawa anajitongozesha, tukawa wapenzi, mapenzi yaliponoga tukahamia kwenye nyumba yake aliyokua anajenga, tumekaa humo kwa miaka 2 na tuna mtoto sasa wa mwaka na nusu

Sasa analazimisha tuhalalishe uhusiano wetu kwa kufunga ndoa, kwa kweli amenitoa juu ya mawe hadi somewhere, nimekua mtu wa maana, yy yupo kazini, mm nasimamia biashara za kwake ambazo sasa ni kama zimekua za kwangu,

Shida ni kuwa kwa kweli alichukua sura ya baba yake, yaani huyu mtoto wetu kama isingekua ni mm sijui angefananaje, thank god alifanana na mm kila kitu, nyumbani kwetu pamoja na kuwa nimewafanyia mengi kwa hela za huyu dada lakini kuna minong`ono mingi sana, kwamba G alimtoa wapi huyu binti, hata marafiki zangu tukikaa sehem tukiondoka nyuma ni maneno hadi nakosa raha, nakua na avoid kutoka nae

Sasa hili la kufunga ndoa ndio bomb shell, nimekua nakwepa hoja hiyo kila mara, sasa kuna huyu mdogo wangu wa kike ni wa mwisho kwetu, amem recommend rafiki yake kipenzi kwangu, nimeshakaa kunywa nao mara kibao, ampapo sister kila mara ananishauri achana na hilo dubwana umuoe rafiki yangu katulia,
Sasa wadau mlikua mnasemaje? Maana huyu rafiki wa mdogo wangu ni mzuri hasa, amejazia, kifuani kumenyooka wima sidiria haiitajiki, halaf ana adabu sana, huniamkia shikamoo kila tukikutana hata tukiwa wawili tu, ila hatujafanya chochote zaidi ya kutoka out tu

Sasa sijui mlikua mnasemaje?
we rukaruka tu ukione cha moto
 
DAA WE JAMAA UNACHEZEA SHILLINGI CHOONI WE MWENYEWE ULIKUWA HUNA MBELE WALA NYUMA NAONA UNATAKA KURUDI KWENYE ULE UMASKINI WAKO UMUACHE WIFE MATERIAL NAKUATAKIA KILA LAHERI. NDOA SIO SURA TAFUTA SURA UKAKUTANE NA WAKINA WEMA.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom