Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
mkubwa,
uzuri mshiki ananielewa kuwa mimi ni mtu WA MATUKIO!nilimuadvice vizuri sana kwamba akitaka nitulie,atoe vitu!.........
nashukuru mungu nimetulia!
Hahaha! Hiyo nimeikopi na kuipesti kwa wallet! Badaye atapelekewa Matron, Halima na Eliza kwa msisitizo zaidi!