Ningeomba kujua ulisha mpa chakula kile chakula bila kunawa?
Yaani ulisha mpa jamaa aka mega na kujiexpress jibu kwanza ndipo tuendelee.
Mkuu kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ulitangaza kuacha kujiexpress, he kulikoni tena wakuulizia?
Ningeomba kujua ulisha mpa chakula kile chakula bila kunawa?
Yaani ulisha mpa jamaa aka mega na kujiexpress jibu kwanza ndipo tuendelee.
Kaka hajatoa ticket bado nitakazania maombi na nitasimama na msimamo wangu wa mwanzo, maana malengo tulipanga sisi wawili iweje tena.
Mkuu kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ulitangaza kuacha kujiexpress, he kulikoni tena wakuulizia?
Kaka Fidel80 hayo yalikuwa sio malengo yetu, mnapoanza mahusiano lazima muwe na malengo kama angekuwa wa hit and run nisingeleta hapa jamvini.Mi naona amekimbia baada ya kumnyima kuonja tunda
Kaka swali gumu maana sijamuona na yeye hakuwahi kuniona nitajuaje?
mlichokubaliana kililenga kuhakikisha MNAKUBALIANA!Kaka hajatoa ticket bado nitakazania maombi na nitasimama na msimamo wangu wa mwanzo, maana malengo tulipanga sisi wawili iweje tena.
mlichokubaliana kililenga kuhakikisha MNAKUBALIANA!
unajua lily flower tuwe wakweli!.....umwambie mtu NO SEX BEFORE MARRIAGE,halafu akawa anatoka nje,na anapata sex kila siku NA HUTAJUA!......unaionaje hiyo?
waambie bwana mkubwa!Hicho ndicho kitu watu wanadanganyana. Eti tusimegane kabla ya kuoana kumbe kila mmoja anajirusha kivyake! Si heri ujifaidie vyako mapema kuliko kuwaachia watu wakumegee? Stukeni nyie watu!
Kweli itampunguzia speed, lakini mtu akikutokea ni kwamba he has seen something in you, kwanini asisubiri? kupata hiyo SEX ya mara moja moja na mtu asiyempenda (siusemei moyo) inamfaidisha nini?mlichokubaliana kililenga kuhakikisha MNAKUBALIANA!
unajua lily flower tuwe wakweli!.....umwambie mtu NO SEX BEFORE MARRIAGE,halafu akawa anatoka nje,na anapata sex kila siku NA HUTAJUA!......unaionaje hiyo?
waambie bwana mkubwa!
halafu......?
KWANIN MTU ASEME NO SEX BEFORE MARRIAGE?
Mkuu kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ulitangaza kuacha kujiexpress, he kulikoni tena wakuulizia?
Join Date: Mon Dec 2009
Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Kaka ukimpa alafu bado akuache si ndio balaa zaidi? hapo atasema you are to easy, shida iko kote kote, best thing nikukaa single.Hicho ndicho kitu watu wanadanganyana. Eti tusimegane kabla ya kuoana kumbe kila mmoja anajirusha kivyake! Si heri ujifaidie vyako mapema kuliko kuwaachia watu wakumegee? Stukeni nyie watu!
we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe we dada wewe,we dada wewe,we dada wewe!Kweli itampunguzia speed, lakini mtu akikutokea ni kwamba he has seen something in you, kwanini asisubiri? kupata hiyo SEX ya mara moja moja na mtu asiyempenda (siusemei moyo) inamfaidisha nini?
mkubwa,Afu kibaya zaidi Eti NO SEX BEFORE MARRIAGE inaaplya kwa mtarajiwa tu wakati kwa mabaamedi na visista duu SEX kama kawa! Bwashee mshiki asikubanie, kula vitu. Watakusaidia watu. Mtu akishaonja ile kitu hawezi kaa zaidi ya miaka miwili bana, tusidanganyane!
Yeah nilisha staafu hapo nilikuwa naulizia tu ili nijiridhishe
Dah unakumbuku kumbu ulikuwa unaingia kama guest hongera kwa kujiunga JF
Kaka ukimpa alafu bado akuache si ndio balaa zaidi? hapo atasema you are to easy, shida iko kote kote, best thing nikukaa single.
nakuondolea nuksi,NAKUGONGEA SENKSI YA KWANZA!hii ni historia kwako,kwa maana hakuna mtu mwingine atakaekugonga SENKSI YA KWANZAAhsante Mkuu na nimekaribia. Nilikuwa namisi mambo mengi sana kwa kuingiza kichwa tu. Ndo maana nimeamua kuingiza namwili wote hapa JF
Hivi nyie wa wapi nyie? hafu mnajiita wakristo? Enyi akina Yuda mbona nyie mnamsaliti Yesu?
".......Watu hawa wananiabudu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali nami....." ASEMA BWANA WA MAJESHI....
Na wazinifu wote sehemu yao ni kwenye lile ziwa la moto......
Ole wenu,ole wenu,ole wenu.