Huwezi kurejesha Utawala wa sheria kwa kuvunja sheria...!!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Gazeti na Jarida la Raia mwema la Jumatano wiki hii lilikuwa na Makala yenye kichwa sawia ikiwa imeandikwa na gwiji la Habari Mabala wa Mabalaa. Makala hiyo iliyoandikwa kwa mtindo wa tenzi au aya za Ayah za Binti Hidaya inazungumzia Utawala huu Awamu ya 5.

Mwandshi kaongea ukweli kwamba Utawala huu umepoteza mwelekeo kwenye swala la Sheria na Katiba ya nchi. Baba wa Taifa aliwahi kusema tunapochagua Rais lazima tumwapishe kwa Katiba ya JMT na lazima aape KUILINDA NA KUITETEA KATIBA YA NCHI kama ni Mkristu ataapa kwa kushika BIBLIA, kama Mwislamu ataapa kwa kushika Quruan na kama ni Mpagani lazima tutatafuta namna ya kumwapisha...!!

Rais Magufuli ni Mkristu na aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Tanzania, lakini jamaa baada ya kuingia Ikulu anafanya kinyume cha Katiba...! Tumeshuhudia Rais huyu akisigina Katiba yetu kwa jeuri na ubabe unaopitiliza kiasi cha baadhi ya Watanzania kuanza kumwita ni Dikteta uchwara. Tujikumbushe machache ambayo mpaka sasa ameyafanya kwa kuvunja Katiba yetu:
  1. Kupiga marufuku mikutano na Maandamano ya vyama vya siasa ambayo iko kikatiba na kisheria.
  2. Kuwakamata Wabunge na Viongozi wa Upinzani na kuwaweka ndani kwa masaa zaidi ya 48 wengine mpaka wiki na miesi kadhaa pasi na kuwafungulia mashtaka.
  3. Kuwanyima dhamana Washtakiwa hasa wapinzani kitu ambacho ni Haki yao Kikatiba.
  4. Kubomoa nyumba za Wananchi hata pale ambapo Mahakama imeweka zuio(Court Injuction).
  5. Kuvunja Mikataba ya Wawekezaji pasi na kujali au kuheshimu Mikataba ya Kimataifa kati ya Wawekezaji na Serikali ambayo iko kisheria.
  6. Kuingilia mihimili mingine kama Bunge, Uhuru wa Mahakama na Media kwa kutoa maelekezo ili kulazimisha mambo yawe anavotaka yeye.
  7. Kubadilisha Matumizi na Bajeti ya Serikali kwa kuelekeza Fedha fulani iende kununua au kujenga kitu au jambo ambalo halikupitishwa kwenye Bajeti ya Bunge.
  8. Watu na Media kunyimwa Uhuru wa kutoa maoni yao kwa kisingizio cha Uchoghezi ilhali Katiba inaruhusu watu au raia kuwa na Uhuru wa kutoa maoni na mawazo yao....!
  9. Kufukuza Wafanyakazi waliofanya kazi kwa miongo kadhaa na kuwanyima malipo yao kwa madai ya kutokuwa na vyeti au kughushi vyeti vya F4 na F6 na sasa STD 7 huku wateule wake akiwakingia kifua....!
  10. +++++!
Kichekesho kinakuja pale IGP na Mapoliccm wanapokuja na kibwagizo cha KUTII SHERIA BILA SHURUTI!! Utawaambiaje Wananchi watii sheria wakati wewe mwenyewe kama Polisi na Serikali unavunja sheria??? Hivi ni vihoja na viroja vya Serikali hii ya Magufuli ambayo kwa kweri inatia kichefuchefu!!
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Awful Dentist

He read medicine,
Specialising in the tooth,
And graduated, with honours
With new thesis
To cure the aching malady.

"Our teeth shall be all right!"
People chanted, welcoming his services.
And he started work, prompt and immediate.
They brought him all the teeth they had -
Decaying teeth, aching teeth, strong teeth.
And he started working on their jaws
Diligently pulling out every tooth
From the jaws of every mouth,
And they paid him with meat
Which now they could not eat.

And so on went the dentist
Making heaps and heaps of teeth
Useless. Laying them waste
Without fear that soon,
Very soon indeed,
He would have no teeth to attend to,
No tooth for which to call himself a dentist.

Jwani Mwaikusa

Asante

An Awful Dentist. an Awful Doctor and an Awful President.....!!!
What a resemblance!
 
Tunatafuta Mbinu ya kuua upinzani kosa tunataka kutawala maisha.Tunaua Uhuru wa Mahakama kosa tunataka kutawala maisha.

Kwa sasa hakuna Mahakama wala Mbunge upumbavu mtupu.

Mbunge limekuwa NEC ya CCM, Mahakama amekuwa Tawi dogo la CCM Mkoa wa Mahakama likiwa na Kaimu Mwenyekiti, unategemea kuwe na rule of law.

Labda akipendwa zaidi na aliyemuumba.Hongera Uhuru Kenyatta ameonyesha ukomavu ambao hata Marekani wameshindwa kuonyesha.Ameonyesha nini maana ya rule of law na haki za RAIA wako Hongera sana
 
Back
Top Bottom