amekuomba ili aende kufanyia nn? unajua kwenye ndoa mnakuwa mwili mmoja na kila mnachokifanya kinakuwa chenu na si cha mmoja kuna hali inatokea kwa mfano mke au mme ni mfanyabiashara anahitaji kuongezea hiyo hela ili auze mzigo apate faida hapo inabidi umdai maana amepata profit kwa mkopo wako. Ila kwa jambo linalohusu familia unaweza kumpa tu kwa makubaliano ya kumsaidia sio kukopesha mfano mkeo/ mmeo anahitaji hiyo hela ili abadilishe sofa or kitu chochote kwa faida ya familia unampa tu sio kwa kumkopesha
hahahaha heheheh mie huwa sirudishiwi najua kabisa hapa jamaa kanambia tu wife nikope nakurudishia kesho ..Lakini najua hairudi kwa vile mie napata vikubwa zaidi ya hivyo wala simind :A S-heart-2:
Una busara sana Mama mkubwa, I wish you wrere mine! Mi nawakubali sana watu wasiojali sana cash, siyo kwamba nataka kutumia zao hapana!hahahaha heheheh mie huwa sirudishiwi najua kabisa hapa jamaa kanambia tu wife nikope nakurudishia kesho ..Lakini najua hairudi kwa vile mie napata vikubwa zaidi ya hivyo wala simind :A S-heart-2:
hahahaha heheheh mie huwa sirudishiwi najua kabisa hapa jamaa kanambia tu wife nikope nakurudishia kesho ..Lakini najua hairudi kwa vile mie napata vikubwa zaidi ya hivyo wala simind :A S-heart-2:
sawa kabisa kifamilia mambo yanayohusu pesa yanatakiwa kufanywa kwa pamoja na kushauriana sio mke anakurupuka anakuja kukukopa laki 5 au milioni bila maelezo yoyote, kwa nn asikwambie kuwa ana wazo fulani mlifanyie kazi kwa pamoja na si vingine kivipi m/mke aombe milioni bila kukuhusisha kwenye matumizi ya hiyo hela matokeo yake unakuta umempa kesho anakuja na gari anakwambia amenunua hapo tena hutakuwa na sauti kama m/umeNi lugha hatarishi sana kutumika kama mnasaidiana kifedha........mimi naona mkishaanza kupeana pesa katika mtazamo huo wa kukopeshana ndipo mgawanyiko wenu kwa misingi ya mali UNAPOWEZA kutokea. Nashauri kuwa endapo mwenzio kakuomab pesa na umeridhia kumpa basi weka mbali wazo la kudai ama kurudishiwa na akirudisha basi hakikisha hiyo pesa inaingizwa tena kwenye mchakato wenu wa pamoja msiruhusu pesa iwagawe namana hii.:A S 8: