Huwa unadai?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Mpenzi wako kakuomba hela kama Sh 500,000 na akasema atakurudishia kumbuka yeye ni mkeo/mmeo je utamdai hizo hela ikiwa hataonyesha dalili za kukurudishia? au utamwachia?:welcome:
 
amekuomba ili aende kufanyia nn? unajua kwenye ndoa mnakuwa mwili mmoja na kila mnachokifanya kinakuwa chenu na si cha mmoja kuna hali inatokea kwa mfano mke au mme ni mfanyabiashara anahitaji kuongezea hiyo hela ili auze mzigo apate faida hapo inabidi umdai maana amepata profit kwa mkopo wako. Ila kwa jambo linalohusu familia unaweza kumpa tu kwa makubaliano ya kumsaidia sio kukopesha mfano mkeo/ mmeo anahitaji hiyo hela ili abadilishe sofa or kitu chochote kwa faida ya familia unampa tu sio kwa kumkopesha
 
eheee tuendeleee:playball:
 
hahahaha heheheh mie huwa sirudishiwi najua kabisa hapa jamaa kanambia tu wife nikope nakurudishia kesho ..Lakini najua hairudi kwa vile mie napata vikubwa zaidi ya hivyo wala simind :A S-heart-2:
 
FL ulikosea sana
 
Hapo kwanza!!1,Ameomba??au kakopa??
Kama amesema nikopeshe kiasi hiki najua anaenda kufanya kitu fulani na mimi nilazima nijue! huyo ni mke.Kama ameomba anamambo yake binafsi nampa nusu yake!
2 Kimada akisema nikopeshe najua fika hazirudiii!!nampa nusu famililahih!!,kama ameomba nitajua nimpevipi laki 2 au hata zaidi!!
 
Msaada ni msaada na kukopa ni kukopa. Mke akija na ombi la kukopa namkopesha baada ya kuanika anachotaka kukifanya. Kama ameomba msaada tu basi simdai. Ukikopa lazima ulipe!
 
hahahaha heheheh mie huwa sirudishiwi najua kabisa hapa jamaa kanambia tu wife nikope nakurudishia kesho ..Lakini najua hairudi kwa vile mie napata vikubwa zaidi ya hivyo wala simind :A S-heart-2:

tehe tehe tehe heheheheheh kwi kwi kwi kwi kwi wiwiwiwiwiwi
 
hahahaha heheheh mie huwa sirudishiwi najua kabisa hapa jamaa kanambia tu wife nikope nakurudishia kesho ..Lakini najua hairudi kwa vile mie napata vikubwa zaidi ya hivyo wala simind :A S-heart-2:
Una busara sana Mama mkubwa, I wish you wrere mine! Mi nawakubali sana watu wasiojali sana cash, siyo kwamba nataka kutumia zao hapana!
 
hahahaha heheheh mie huwa sirudishiwi najua kabisa hapa jamaa kanambia tu wife nikope nakurudishia kesho ..Lakini najua hairudi kwa vile mie napata vikubwa zaidi ya hivyo wala simind :A S-heart-2:

Ni lugha hatarishi sana kutumika kama mnasaidiana kifedha........mimi naona mkishaanza kupeana pesa katika mtazamo huo wa kukopeshana ndipo mgawanyiko wenu kwa misingi ya mali UNAPOWEZA kutokea. Nashauri kuwa endapo mwenzio kakuomab pesa na umeridhia kumpa basi weka mbali wazo la kudai ama kurudishiwa na akirudisha basi hakikisha hiyo pesa inaingizwa tena kwenye mchakato wenu wa pamoja msiruhusu pesa iwagawe namana hii.:A S 8:
 
sawa kabisa kifamilia mambo yanayohusu pesa yanatakiwa kufanywa kwa pamoja na kushauriana sio mke anakurupuka anakuja kukukopa laki 5 au milioni bila maelezo yoyote, kwa nn asikwambie kuwa ana wazo fulani mlifanyie kazi kwa pamoja na si vingine kivipi m/mke aombe milioni bila kukuhusisha kwenye matumizi ya hiyo hela matokeo yake unakuta umempa kesho anakuja na gari anakwambia amenunua hapo tena hutakuwa na sauti kama m/ume

haya mambo ya pesa yanaleta mzozo sana kwenye mahusiano na msipoyaweka clear mwanzo yanaweza kuleta migogoro mikubwa baadae utakuta mtu umeoa labda mkeo alikuwa chuo akimaliza akipata kazi anakuachia majukumu yote m/ume kwa kuwa alishazoea toka kipindi cha nyuma sasa hapo usipoweka sawa mapema ndio utastukia mke anajenga kwao wakati nyie mnapanga mjini na mwisho wake ukigundua mnagombana na kuachana
 
akikopa arudishe................kwani hajui maana ya neno kukopa?!

kama hakuwa na nia ya kurudisha angeniomba bila ya kutumia neno kukopa ningempa bila ya tabu, as long as katumia neno kukopa, namdai

(namdai ili kuondoa ego yake tu kwa sababu mwanamme anaona tabu kumwambia mkewe amgaie pesa, atajitia akopeshwe! basi na alipe)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom