Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Wadanganye wajinga wasiojua Rhumba , Fally hampati Ferre hata kwa namna gani , Kwanza Fally ana style moja tu ya kuimba kiasi ambacho amekwisha chuja vibaya sana , ferre gola ni mtaalam wa sauti na anaweza kuimba sauti ya mwanamuziki yeyote unayemjua dunia , mpangilio wa Rhumba ya Ferre gola ni wa kipekee , huyu ni fundi hasa wa Rhumba

Ingia tu hapo mtaani kwenu waulize Vijana wapatao 10 kati ya Fally Ipupa na Fere Golla wanamkubali nani halafu wakupe majibu!
 
Ndo iko hivo mkuu utakataa lakini ndo ukweli fally unampenda kutokana na ile amsha amsha yake ila gola anaroom yake na kina madilu huko

Nimekuomba ufanye nilivyokutaka,umeshindwa!.

Fally Ipupa ni habari nyingine wewe!.

MUOGOPE SANA MSANII ANAYEIMBA NA KUCHEZA MASAA 5 BILA KUPUMZIKA NA ENERGY ILEILE ALIYOANZA NAYO!

MUOGOPE SANA
 
Binafsi namkubali fally ipupa zaidi, halafu kuwalinganisha kina fally na kiba barnaba ambao ndio kwanza walikuwa wanafunzibwa tht, wale walitafutiwa connection tu nao watokee kwenye jukwaa kubwa pale. Hata sasa kina barnaba hawakai jukwaa moja na fally, ndio itakuwa kipindi hicho wanafunzi, wakati fally kaishazunguka saana na mzee mopao
 
Tht walikosea sana kuwapandisha kina Barnaba kwasababu walionekana kituko mbele ya mfalme wa Rhumba!
 
Nimekuomba ufanye nilivyokutaka,umeshindwa!.

Fally Ipupa ni habari nyingine wewe!.

MUOGOPE SANA MSANII ANAYEIMBA NA KUCHEZA MASAA 5 BILA KUPUMZIKA NA ENERGY ILEILE ALIYOANZA NAYO!

MUOGOPE SANA
Mkuu UMUGHAKA nyimbo za fally zinafanana ryhthm unasikilizaje mziki mzee hahahaha
 
Japokua mimi sio mpenzi wa nyimbo za kikongo lakini huyu Fally Ipupa nikimsikiliza naona kabisa huyu mwamba anajua aisee.
 
Yaani wewe unaleta mambo ya Redio one ya Nani zaidi kati ya Madonna na Hadija kopa , Hadija Kopa alishinda kwa kishindo , kwa sababu wapiga kura walitoka Mbagala

😂😂😂😂

We jamaa umenifanya nifurahi sana!.

Kwahiyo ndo unataka kusemaje,Hebu nieleze!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?

Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.

Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi ya QUARTIER LATIN ambao sitoweza kuwasahau ni Fally Ipupa,huyu mtu amebarikiwa kipaji cha aina yake katika muziki,bila shaka ukimtoa Marehemu Papa Wemba na mimi,basi atakuwa anafuata yeye"

Kwa maneno hayo ya Mkongwe na Gwiji la muziki wa Dansi na Rhumba kutoka Africa bila shaka Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.

Lakini mimi mkongwe na wakongwe wenzangu tunaomfahamu Fally Ipupa toka Enzo hizo akiwa Stage Show na Rapa wa Koffi Olomide kutoka bendi ya QUARTIER LATIN wala hatushangai namna alivyo hatari!

Vijana niwapendekezee tu,kama humfahamu Fally Ipupa hebu nendeni karudieni show aliyoifanya Dar es salaam mwaka 2009 ndo mtaelewa ni mtu wa aina gani!(Nendeni YouTube huko mtaikuta hii show)

Kwenye ile show walipanda wasanii wenu mnaowaaminia Amini & Barnaba wakaimba wimbo unaoitwa KIDIAMFUA,aiseee nilicheka sana maana wale wasanii wenu ni kama walikuwa wanaigiza siyo kuimba😂,hapa ndipo nilijua hakuna msanii kitoka Tanzania anayejua kuimba bali huwa ni wababaishaji tu!

FALLY IPUPA acheni kabisa kumlinganisha na watoto wadogo katika muziki!
Hivi ni Kukaririwa au ni Kukaliliwa yako?
 
Ingia tu hapo mtaani kwenu waulize Vijana wapatao 10 kati ya Fally Ipupa na Fere Golla wanamkubali nani halafu wakupe majibu!
Bongo hawajui muziki kwa sababu ya dhiki , wala hawapati nafasi ya kufuatilia rhumba , wanamuziki wa Congo hawaji bongo , nenda Nairobi ukaulize huu utopolo wako usikie majibu yake
 
Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.
Bwa mdogo,
Fally yuko vizuri,sawa.
Koffi olomide ni mjomba wake unajua walichogombana?
Hujui.
Kasikilize pharmacien.
Nakusimulia hapa.
Fally alikua na mjomba wake wakaenda kutafuta nyota.
Mopao akamtanguliza huko kwa sangoma.
Fally anashtuka kamuua mama yake.
Congo yote ikamkataa.
Kaja huku kueleza marafiki zake siri ikawa nje.
Quartier late ikafa ingawa ipo.
Waimbaji wote wakakimbia ukitaka list ntakupa.
Fally hajawai kuwa rapa wa koffi.
Rapa alikua korrosiene,fabrigado badae.
Ferre
Huyu kwasasa huwezi kumfananisha na Fally.
Yuko mbali sana.
Mziki anaimba na Show zake si za kitoto.
Fally yupo ila Ferre ni habari ingine.
Na humjui Ferre wewe kaanza kuimba na uchawa Wenge Becebejee(BCBJ)
Toka mwaka 94.
Kwasasa mziki wa Ferre ni unachezwa dunia nzima.
Google Ferre Rotana live2013
Ndio utajua hujui.
We lete story za kutafuna misukule.
Miziki tuachie tuliozaliwa humo.
 
Bongo hawajui muziki kwa sababu ya dhiki , wala hawapati nafasi ya kufuatilia rhumba , wanamuziki wa Congo hawaji bongo , nenda Nairobi ukaulize huu utopolo wako usikie majibu yake

Nairobi kuna wanamuziki gani?,Kama wasanii wendawazimu kina Diamond,harmonize na Barnaba wanatisha hapo Kenya ndo uniambie nimpeleke Fally Ipupa the International Artist?,Hivi uko timamu kweli au unatania?
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?

Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.

Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi ya QUARTIER LATIN ambao sitoweza kuwasahau ni Fally Ipupa,huyu mtu amebarikiwa kipaji cha aina yake katika muziki,bila shaka ukimtoa Marehemu Papa Wemba na mimi,basi atakuwa anafuata yeye"

Kwa maneno hayo ya Mkongwe na Gwiji la muziki wa Dansi na Rhumba kutoka Africa bila shaka Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.

Lakini mimi mkongwe na wakongwe wenzangu tunaomfahamu Fally Ipupa toka Enzo hizo akiwa Stage Show na Rapa wa Koffi Olomide kutoka bendi ya QUARTIER LATIN wala hatushangai namna alivyo hatari!

Vijana niwapendekezee tu,kama humfahamu Fally Ipupa hebu nendeni karudieni show aliyoifanya Dar es salaam mwaka 2009 ndo mtaelewa ni mtu wa aina gani!(Nendeni YouTube huko mtaikuta hii show)

Kwenye ile show walipanda wasanii wenu mnaowaaminia Amini & Barnaba wakaimba wimbo unaoitwa KIDIAMFUA,aiseee nilicheka sana maana wale wasanii wenu ni kama walikuwa wanaigiza siyo kuimba😂,hapa ndipo nilijua hakuna msanii kitoka Tanzania anayejua kuimba bali huwa ni wababaishaji tu!

FALLY IPUPA acheni kabisa kumlinganisha na watoto wadogo katika muziki!
Faly Pupa wa kawaida sana kwa Fere Golla....
100kilos inatosha kuthibitisha hilo
 
Back
Top Bottom