Huwa mnamsoma Ulimwengu?

sijajua watz huwa wanataka unabii wa aina gani tena ili kufumbika macho kw ayale yanayosemwa na watu kama hawa. au kwa vile akina mkuchika walishasema kuwa 'hata mkiandika watu wenyewe hawana umeme wa kideo, hawasomi magazeti yenu...'
kaka nimecheka sana hayo maneno ya mkuchika yaani mpaka mbavu zinauma,ni kweli lakini huyu jamaa ana dharau sana da
 
namkubali sana ulimwengu, lakini huwa natatizwa naye anapokuwa kigeugeu. kwa waliomsoma kipindi kile katika rai, baada ya kikwete kuingia madarakani, wataona kama nyoka anayefahamu mambo mengi sana, lakini asiyejua ashikilie lipi moja. yafuteni makala ya jina la BARUA KWA KIKWETE. HATA HIVYO NINGEPENDA KUMSIKIA ULIMWENGU AKICHAGUA NJIA NYINGINE YA KUFIKISHA UJUMBE KWA WANACHI WENGI ZAIDI, HATA KWA KUTOA MIHADHARA SEHEMU MABALIMBALI AMBAPO NAAMINI UDHAMINI WA KUFANYA SHUGHULI HIUO UPO WA KUTOSHA ,KULIKO GAZETI AMBAZO RICH YAKE SIYO KUBWA SANA.

kweli mkuu. Tanzania hatuna Public speakers hadi tunaagiza wa kutoka nje (akina Azim Jamal) japo wengine walikuwa watanzania wakaenda kuishi Canada na kwingineko.
 
Hayo uliyoyanukuu unasema ni mtazamo wangu ..yes! una tatizo na hilo?

Ninachoona ni kuwa ameandika kile kinachokufurahisha ..au ulichotaka kukisikia. Sina tatizo na waandishi na maandishi yao, bali naangalia larger picture na motives zao, mimi sio naive au mwenye kuamini haraka kama wengi wenu.

Ukitaka data zaidi tafuta kuna thread nyingine ya Ulimwengu uone upande wa pili wa shilingi.

mkuu, hata Hitler, Idd Amin, Pinochet, n.k wakati fulani walikuwa wasafi
 
Nguruwe kuzaliwa kwenye zizi la ngombe hakumfanyi kuwa Ngo'mbe...

Huyu ni MnyaRwanda tuuu

maneno yake si mabaya saa zingine lakini awe na adabu na akae on the line akiandika hizi articles zake
 
Hawa ndio wanaodeserve kupewa doctorate za heshima kutoka vyuo vikuu, na sio akina JK na karume,

To be honest huyu J.Ulimwengu amewaacha mprofessor wengi mno katika kuleta maendeleo ya nchi hii!

T

hiyo point. shahada za heshima mwanzo wake ni fikra pevu na sio ushabiki wala kulindana
 
Wewe choko kama huna la kuongea kaa kimya.

Bado narudia,majinga utayaona kutokana na maandiko yao.hatakama limetumwa hua halichekechi kabla ya kunyonya na kutapika.tunachokiongelea hapa ni maandishi yake,sio mtu.japokua maandishi ni reflection ya mtu pia.mfano ulio hai ni wewe.unapotumwa hebu jaribu kuwaambia basi mabwana zako wakusaidie kuchuja.

vichwa vinakiri jenerali ni mtambo-na hilo halina ubishi.kwani nchi hii inawanafiki wangapi ambao wameshindwa walau kuinua vinywa vyao.naamini heri mnafiki alie asi (kama unavyodai ulimwengu)kuliko mnafiki anaeendelea kusujudu(kama wewe) mbele ya altare ya ufisadi
 
Nguruwe kuzaliwa kwenye zizi la ngombe hakumfanyi kuwa Ngo'mbe...

Huyu ni MnyaRwanda tuuu

maneno yake si mabaya saa zingine lakini awe na adabu na akae on the line akiandika hizi articles zake

WARN_200_X_300_men_at_work.jpg
 
Kinachonishangaza hadi leo ni jinsi Jenerali alivyoweza kufanya kazi kwa karibu kabisa na Salva wa Ikulu ambaye ana uswahiba wa nguvu na mafisadi papa wa Nchi hii!
 
Kinachonishangaza hadi leo ni jinsi Jenerali alivyoweza kufanya kazi kwa karibu kabisa na Salva wa Ikulu ambaye ana uswahiba wa nguvu na mafisadi papa wa Nchi hii!

yaelekea salva alikuwa mtu mzuri tu ila alirubuniwa na hao mafisadi na ndio maana wakampora JU media yake
 
Wako watu watatu kwa sasa katika NCHI hi ambao wakiandika lazima niwasome. Jenerali, Mzee Mwanakijiji na Johnson Mbwambo. Sina la kufanya na maandishi yao haya ambayo kama watawala/Viongozi wangeyaelewa pengine hali ingekuwa tofauti na tuliomo kama Nchi.
Kubenea sio mwandishi sana ila yeye anatoa kitu live hazunguki hata awe nani ni wachache sana kupata mtu kama huyu yeye liwe na liwe ataandika na hiyo ina utamu wake!!!
 
Huna akili wewe huwezi elewa, hivi una ID ngapi hapa JF hahahaha

You are ok!

Nae huyu Ulimwengu kachanganyikiwa na habari zake za Kinyarwanda. Kwanza atuachie nchi yetu haimuhusu. Na pia kama hatanyamaza kuna lake jambo kwani anasema sana.

Nataka kujua jambo jamani huyu kashapata uraia au asema sema tuu basi. Atuache na hadith zake tunataka si hadith na mikanganyo ya hizi hadithi ni mbaya sana kwani ndizo zilizoipeleka Rwanda kuanza kuuwana.

Huyu anatupakazia ili tujenge chuki, kama kweli atuonyeshe sera zitatakiwa kuwaje siyo uchuro na uchochezi wake hapa.

huwa mimi sioni cha ajabu anavyosema zaidi ni uchochezi.

Cha kuongea ni kwamba atueleze sera zake zinasemaje kuhusu kuwa na shule bora Africa mashariki na vyuo bora kwa africa?.

Aache uchochezi na wanajamii tuache ushabiki wa kishamba kwani wanaoumia ni sisi na ndugu zetu. Ulimwengu jhana shida tena huyu ni tajiri tayari.

Mwuulize watoto wake wanasoma shule gani muda huu au hapo siku za nyuma walikuwa shule gani?
 
KAAZI KWERIKWERI,hivi anachofanya niuchochezi ee,watanzania tutapigwa romance ya bongo zetu miaka na miaka,na romance mliyopigwa kina malyamungu naona na denda ushaliwa,ulichobakiza ni kulaza shingo kwanye bega la mafisadi huku mikono ikiwa inapapasa makalio yako.
hivi kweli hatuoni,kusikia hata harufu halisia,au?hata mkuu wa nchi anakiri i expected tumsaidie kujenga nchi weye waja na injili ya personalization
 
I salute you, Jenerali! This is a masterpiece! Lakini watawala wetu wanasoma haya? Hili ndio tatizo.
 
jenerali2.jpg

Unakuwa ni uongozi wa kubabaisha, wa kila siku kuokoteza 'sound bite' za kauli-mbiu zisizodumu hata mwaka mmoja. Baada ya muda ukiwaangalia wanaonekana kama vile wamekwisha kusahau kauli-mbiu ya mwaka jana na sasa wanazindua nyingine.

mbali na kumshangilia Bwana Mkubwa na kumwambia, Mzee ile hotuba yako ya leo, haijapata kutokea! na upuuzi mwingine kama huo. Hakuna washauri bali wamejaa wapiga debe, mashabiki, wapambe na washikaji, wote wakigharimu fedha nyingi mno za walipa kodi.

taahira ya akili.

Itaendelea

....mimi kwa kweli bwana ulimwengu huwa ananikosha sana....napenda uandishi wake...makala zake...,mahojiano yake kwenye JENERALI ON MONDAY ....ni ya mfano!!!.....wanaomponda ni wavivu wa kusoma tu!!!...na wanaoenda mbali zaidi kuleta ubaguzi ..wamekosa hoja .....JENERALI ni mtanzania kwa moyo na kwa kuzaliwa....!!... Inabidi uwe muumini wa PANAFRICANISM ,,,...kuelewa kwa nini mwalimu alipeleka majeshi yetu kutetea uhuru NAMIBIA,MSUMBIJI,ZIMBWABWE na kwingine.....pamoja na damu yetu kumwagika na askari wetu kuzikwa humo...sisi sio raia wa nchi zile.....sasa iweje leo mtu anasema atuachie Tanzania yetu ...LABDA kama ziko Tanzania mbili ya wazalendo ,na ya mafisadi......sasa lazima muelewe Tanzania ya mafisadi ni ya kufikirika ...haipo ....ni upepo ....tu!!!

vitabu vya ulimwengu au makala zake zinafaa kufundishia litereture au philosophy ...vyuoni !!
 
You are ok!

Nae huyu Ulimwengu kachanganyikiwa na habari zake za Kinyarwanda. Kwanza atuachie nchi yetu haimuhusu. Na pia kama hatanyamaza kuna lake jambo kwani anasema sana.

Nataka kujua jambo jamani huyu kashapata uraia au asema sema tuu basi. Atuache na hadith zake tunataka si hadith na mikanganyo ya hizi hadithi ni mbaya sana kwani ndizo zilizoipeleka Rwanda kuanza kuuwana.

Huyu anatupakazia ili tujenge chuki, kama kweli atuonyeshe sera zitatakiwa kuwaje siyo uchuro na uchochezi wake hapa.

huwa mimi sioni cha ajabu anavyosema zaidi ni uchochezi.

Cha kuongea ni kwamba atueleze sera zake zinasemaje kuhusu kuwa na shule bora Africa mashariki na vyuo bora kwa africa?.

Aache uchochezi na wanajamii tuache ushabiki wa kishamba kwani wanaoumia ni sisi na ndugu zetu. Ulimwengu jhana shida tena huyu ni tajiri tayari.

Mwuulize watoto wake wanasoma shule gani muda huu au hapo siku za nyuma walikuwa shule gani?

whatever you will say, je alichoandika ni cha uongo? au kwako wewe unachagua nani wa kukueleza ukweli? mzungu? ukweli uambiwe na maskini akisema tajiri siyo ukweli? nani unataka aseme sasa maana umeshawabangua kwa mataifa, uwezo utkuja ukabila, jinsia.......

You definitely have a problem brother!
 
You are ok!

Nae huyu Ulimwengu kachanganyikiwa na habari zake za Kinyarwanda. Kwanza atuachie nchi yetu haimuhusu. Na pia kama hatanyamaza kuna lake jambo kwani anasema sana.

Nataka kujua jambo jamani huyu kashapata uraia au asema sema tuu basi. Atuache na hadith zake tunataka si hadith na mikanganyo ya hizi hadithi ni mbaya sana kwani ndizo zilizoipeleka Rwanda kuanza kuuwana.

Huyu anatupakazia ili tujenge chuki, kama kweli atuonyeshe sera zitatakiwa kuwaje siyo uchuro na uchochezi wake hapa.

huwa mimi sioni cha ajabu anavyosema zaidi ni uchochezi.

Cha kuongea ni kwamba atueleze sera zake zinasemaje kuhusu kuwa na shule bora Africa mashariki na vyuo bora kwa africa?.

Aache uchochezi na wanajamii tuache ushabiki wa kishamba kwani wanaoumia ni sisi na ndugu zetu. Ulimwengu jhana shida tena huyu ni tajiri tayari.

Mwuulize watoto wake wanasoma shule gani muda huu au hapo siku za nyuma walikuwa shule gani?

malyamungu wewe...jina lako linafanana na LT.GEN malyamungu - aliyekuwa vice president wa uganda wakati wa Amini...alisifika sana kwa kuwa trumphet ya iddi amini ...akimkubalia kila kitu ..hadi ukuwadi ...na kumpepea upepo....

nilifikiri mmefanana majina tu...kumbe nilitakiwa kutafakari zaidi...lakini namna hii umenipunguzia kazi ya kutafakari..kweli duniani wawili wawili!!! kama ni jina kuchagua hujakosea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom