Huwa mnamsoma Ulimwengu?

Nguruwe kuzaliwa kwenye zizi la ngombe hakumfanyi kuwa Ngo'mbe...

Huyu ni MnyaRwanda tuuu

maneno yake si mabaya saa zingine lakini awe na adabu na akae on the line akiandika hizi articles zake

wabaguzi kazini ....!!!!!! hata kichaa inzi akitua kwenye donda lake anao uwezo wa kuhamaki!!!!
 
jenerali2.jpg

Baada ya muda ukiwaangalia wanaonekana kama vile wamekwisha kusahau kauli-mbiu ya mwaka jana na sasa wanazindua nyingine.


Asipofanya hivyo, na akizidi kung'ang'ania kwamba uongozi wake hauna ubia, mtawala huyo anajidanganya, na wanaomwangalia na kumsikiliza watagundua baada ya muda si mrefu kwamba anao wabia ambao inamuwia vigumu kuwatangaza.

Kinyume cha hilo ni nini? Iko mifano lukuki, lakini mmoja ni wa hivi karibuni na unahusu maneno yaliyojaa masikioni hata wakati nikiandika makala hii. Imezinduliwa kampeni kubwa, na yenye kelele nyingi, inayoitwa 'Kilimo Kwanza.' Lengo lake la jumla ni kutoa kipaumbele kwa kilimo, ambalo ni jambo jema na sahihi.

kweli kabisa ...mabingwa wa kauli mbiu......

tulianza...

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANI ..YANAWEZEKANA...

TANZANIA YENYE NEEMA INAWEZEKANA ..

KWA ARI MPYA NGUVU MPYA KASI MPYA....

...........SASA...............

KILIMO KWANZA........
 
Nguruwe kuzaliwa kwenye zizi la ngombe hakumfanyi kuwa Ngo'mbe...

Huyu ni MnyaRwanda tuuu

maneno yake si mabaya saa zingine lakini awe na adabu na akae on the line akiandika hizi articles zake

Realy? Any justification? Au ufafanuzi wa U-nyaruwada wake na sio Mtanzania?

Akae kwenye line..? What xcly that z supoz to imply?

Karibu mkuu utuweke sawa!
 
KAAZI KWERIKWERI,hivi anachofanya niuchochezi ee,watanzania tutapigwa romance ya bongo zetu miaka na miaka,na romance mliyopigwa kina malyamungu naona na denda ushaliwa,ulichobakiza ni kulaza shingo kwanye bega la mafisadi huku mikono ikiwa inapapasa makalio yako.
hivi kweli hatuoni,kusikia hata harufu halisia,au?hata mkuu wa nchi anakiri i expected tumsaidie kujenga nchi weye waja na injili ya personalization

mkuu fasihi yako inanikill me softly. Waelezee kwa mithali na nahau na fasihi na ikishindikana, basi kwa mijeledi ya fikra pevu
 
Hii tuiite defrao au. Hii mada imefika hapo kwa uwakilishaji wangu wa hiyo thread. kama mnataka hayo mabadiliko, badilisheni na kichwa cha habari. Halisi hakuweka hiyo title. mheshimu michango ya watu tafadhali enyi MODS
 
Sasa "kulelewa kifisadi" na "kuozeshwa kifisadi" ndiyo kupi huko"?
Kulea kifisadi ni kumlipia mtoto school fees shule ya bei mbaya kwa mihela ya ungivi,kumnunulia mtoto wa miaka mitano blackberry kwa mihela ya ungivi,midoli na migemu ya TV unanunua kwa mihela ya ungivi na mwisho hilo liharusi lake unalifungia Mlimani City ukumbi tu dola elfu kumi , keki dola elfu moja na shampeni dola mia tano,fungate Zamani Kempinsik (wapajua yakhe?) na vyote unalipia kwa mihela ya ungivi,upo hapo mtaaalam? Thats what Jenerali meant na huko ndo ' kula ukatapikia viatu'!!!
 
Nguruwe kuzaliwa kwenye zizi la ngombe hakumfanyi kuwa Ngo'mbe...

Huyu ni MnyaRwanda tuuu

maneno yake si mabaya saa zingine lakini awe na adabu na akae on the line akiandika hizi articles zake



Mkuu kumbukumbu zinapungua au umechukua kidogo cha watoto kwenda- WTC.

Haijalishi awe MnyaRwanda msemakweli ni mpenzi wa Mungu.




Kwa hiyo Ulimwengu akitoa Semina elekezi kupitia gazeti inakuwa nongwa au kwavile si Raisi!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom