Huwa mnajikumbushia?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Hello Wakuu,
Mara nyingi kwa baadhi yetu urafiki wa kimapenzi huanza wakati bado tunakaa na wazazi/walezi na ili kujinafasi vilivyo huwa tunaenda Nyumba za wageni mbali mbali, huendelea hivyo hadi mnapoingia kwenye ndoa na mnakuwa na kwenu na chumba chenu! Je chumba huwa kinachosha na kuenda kujikumbushia enzi mnajinafasi kwenye nyumba zetu za wageni au huwa mnafanyaje? :violin:
 
offcoz ..YES...once a month inashauriwa muwe mnapata outing moja kama hiyo ...na sehemu ziwe tofautitofauti...ila kwa sababu za kiuchumi na hapa kwetu tz basi sio mbaya saaaaaana ukiifanya kila baada ya miezi mitatu...NI MAONI TUU
 
Duh....! Mkuu hata kwenye mitaro, kivuli cha mti, nyumba zinazojengwa lakini bado haijaisha, vichakani, zizi la mifugo, nyuma ya nyumba, na hata kwenye mahindi shambani mnajikumbushia? Iwapo mmepitia hizi sehemu zote na pia mnajikumbushia zote?
 
Nafikiri ni muhimu maana ndipo mlipoanzia, nyoka anapita pembeni mnatulia kimya halafu mnaendelea na shughuli! Ndiyo maana hata honeymoon haifanywi nyumbani ni kwenye nyumba za wageni:becky:
 
Wewe ulipata kumkumbushia mwenzio katika mazingira yapi kati ya hayo?
 
Hello Wakuu,
Mara nyingi kwa baadhi yetu urafiki wa kimapenzi huanza wakati bado tunakaa na wazazi/walezi na ili kujinafasi vilivyo huwa tunaenda Nyumba za wageni mbali mbali, huendelea hivyo hadi mnapoingia kwenye ndoa na mnakuwa na kwenu na chumba chenu! Je chumba huwa kinachosha na kuenda kujikumbushia enzi mnajinafasi kwenye nyumba zetu za wageni au huwa mnafanyaje? :violin:

Mimi nimekuwa nikimlisha dawa za kichina (au limao) ili irudie kama awali, then tunaanza kukumbushia tena....! Mahali si kigezo sana kwangu...!
 
Unajua enzi zile hata mbigili husikii zikikuchoma maumivu na taabu ya kutoka eneo la tukio huja baada ya shughuli kukamiliaka:becky: Usisahau na michubuko ya magoti unakuta shuleni vijana mmejipaka majiviii kwenye magoti............:becky::becky:
 
Mimi nimekuwa nikimlisha dawa za kichina (au limao) ili irudie kama awali, then tunaanza kukumbushia tena....! Mahali si kigezo sana kwangu...!

jamani, sasa Konakali hizo dawa za kichina kitu si kinakuwa very artificial????
 
offcoz ..YES...once a month inashauriwa muwe mnapata outing moja kama hiyo ...na sehemu ziwe tofautitofauti...ila kwa sababu za kiuchumi na hapa kwetu tz basi sio mbaya saaaaaana ukiifanya kila baada ya miezi mitatu...NI MAONI TUU
Hata kila baada ya mwaka mmoja siyo mbaya
Ila husiende zile unazopeleka nyumba dogo kitaharibika
 
kukumbushia muhimu wakulu,,

mi nakumbukia kichaka fulani just by the side of a raod kijijini sema hakukuwa na wapita njia wengi, tuli do ze nidiful chap chap hadi nikikumbuka mzuka unapanda natamani kurudi pale
 
Duh....! Mkuu hata kwenye mitaro, kivuli cha mti, nyumba zinazojengwa lakini bado haijaisha, vichakani, zizi la mifugo, nyuma ya nyumba, na hata kwenye mahindi shambani mnajikumbushia? Iwapo mmepitia hizi sehemu zote na pia mnajikumbushia zote?

u r such a genius.... wewe hutomegewa vyako...!!:smile-big:
 
Nimekumbuka tulipokuwa tunaenda mtoni na baadae tunaenda kwenye mipera na kumaliza mambo yetu:)
 
Back
Top Bottom