Huu ****** wa Masoud Kipanya Leo Nimeukubali

Bora wewe unayejali future ya watoto, sasa mwenzako huyo mwenye shati la kijani anajali future ya wajukuu kabisa, ina maana watoto keshamalizana nao akaanza wajukuu. Kwa vyovyote vile katuni inawasilisha wazo la ku-mis use resources, manake hata huzihitaji still you steal them!

dawa unalimbikiza mali kwa watoto halafu nao watafanya hivyo kuwapunguzi watoto wao kama alivyofanya baba yao, concept inaflow namna hii
 
Bora wewe unayejali future ya watoto, sasa mwenzako huyo mwenye shati la kijani anajali future ya wajukuu kabisa, ina maana watoto keshamalizana nao akaanza wajukuu. Kwa vyovyote vile katuni inawasilisha wazo la ku-mis use resources, manake hata huzihitaji still you steal them!

Mkuu yupo vitukuu sasa
 
Si ni hizo hela zinawapa kiburi cha kuoa wajukuu zao wa miaka 18 ambao nao wanakimbilia hela and not true love
 
ni kwa nini isiwepo thread ya kazi zote za Kipanya ili iwe inafaniwa updates!?

Huyu ni mdau muhimu wa mabadiliko
 
Back
Top Bottom