Masandawana
Member
- Jul 13, 2023
- 84
- 221
kwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?
Kazi ipo CCM hukoookwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?View attachment 2810424
Anamkejeli Makonda kwa sababu mwenezi ni kama mtoto kwa waziri.kwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?View attachment 2810424
Hana jeuri hiyo, maza rimoti iko msoga, kuna siku station itazimwa ghaflaMakonda kawashika nyeti
Makonda atalipigia simu na lenyewe siku wananchi wakilia kuhusu bando .limechukia kusikia kijana hatamkana baba yake hata awekewe bastolakwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?View attachment 2810424
Kama moto ulikuwa kwa ajili ya CDM basi kuna uwekano mkubwa mno Lumumba jazzy ikawa Limpopo jazzyKumekucha 😂
Labda Ali Choki wa Lumumba 😂🔥
Mzee wa Farasi sio?Kumekucha 😂
Labda Ali Choki wa Lumumba 😂🔥