Huu ni Ukweli wa Dr Slaa??

1.

Masatu, you know better than this, Dr. Slaa ni member mwenzetu na si member kwa sababu ya ubunge wake, bali ni member kama mimi na wewe kwa sababu ya u-Tanzania wake,

JF hatuna sheria ya kuwalazimisha members kuzungumzia personal ishus zao, tunam-treat Dr. Slaa hapa kama mwananchi ni hiari yake na sio lazima ku-deal hapa na ishus za bunge,

Lakini kama inabidi aongelee his personal ishus, inapaswa kua a mandate kwa wote kwa sababu Masatu ni nani aliyekuambia kuwa hatutaki wewe uje kua rais wetu? Au members wengine hapa JF nani aliyesema kuwa hatutaki waje kwua marais wetu in the future kama hicho ni kisingizio cha kumfanya DR. Slaa aongelee his personal?

2.

Mjadala wa Marehemu Amina Chifupa, Mbunge na Zitto, Mbunge ukimjumuisha na Nchimbi, Mbunge you know better kwamba ulikuwa na facts nyingi sana zinazotuhusu taifa, ndio maana tulimshambulia sana Zitto, me included,

Nchimbi alimuandikia barua Mkulu wangu Med-Mpakanjia akimshitaki Amina mbunge, kuwa anatembea na mtu, hiyo barua ikaishia kuwa chanzo cha kutalikiwa kwa Amina na mumewe, huku Amina akiwa anatafuta kua mwenyekiti wa UV-CCM cheo cha Nchimbi, ghafla Amina akafariki I mean unaweza kul;inganisha hii ishu na what you guys are making out of Dr. Slaa?

Kama kawaida blah blah nyingi no substance! Haya hilo la ubunge wa Slaa limetoka wapi? Anyway mbona unakuwa kigeu geu? ulisema Slaa ni mwanachama wetu hapa hivyo hatuwezi kujadili personals zake, nimekupa mfano wa Zitto nae pia ni mwanachama lakini alijadiliwa hapa na umekiri wewe mwenyewe ulishiriki kikamilifu kwenye mjadala ule. Je huoni kuwa hizo ni double standards? Halafu unatumia kigezo gani kusema hili hatuwezi kulifananisha na lile?

Habari ya Nchimbi na Meddy I will let it crumble under the weight of its own irrelevant.
 
1.
Kama kawaida blah blah nyingi no substance!

Siwezi kusema hivyo kwako, kwa sababu you alywas have substance, ila kwenye demokrasia wote tunakutaka na kujadili pamoja, hongera kwa kuwa na hoja sana mkuu.

2.
Haya hilo la ubunge wa Slaa limetoka wapi?

Hili limetokea kwenye wewe kusema Dr. slaa tunategmea awe rais, lakini kama hukusema kumradhi mkuu!

3.
Anyway mbona unakuwa kigeu geu? ulisema Slaa ni mwanachama wetu hapa hivyo hatuwezi kujadili personals zake, nimekupa mfano wa Zitto nae pia ni mwanachama lakini alijadiliwa hapa na umekiri wewe mwenyewe ulishiriki kikamilifu kwenye mjadala ule. Je huoni kuwa hizo ni double standards? Halafu unatumia kigezo gani kusema hili hatuwezi kulifananisha na lile?

Mjadala wa Marehemu Amina Chifupa, Mbunge na Zitto, Mbunge ukimjumuisha na Nchimbi, Mbunge you know better kwamba ulikuwa na facts nyingi sana zinazotuhusu taifa, ndio maana tulimshambulia sana Zitto, me included,

Nchimbi alimuandikia barua Mkulu wangu Med-Mpakanjia akimshitaki Amina mbunge, kuwa anatembea na mtu, hiyo barua ikaishia kuwa chanzo cha kutalikiwa kwa Amina na mumewe, huku Amina akiwa anatafuta kua mwenyekiti wa UV-CCM cheo cha Nchimbi, ghafla Amina akafariki I mean unaweza kul;inganisha hii ishu na what you guys are making out of Dr. Slaa?

3.
Habari ya Nchimbi na Meddy I will let it crumble under the weight of its own irrelevant.

you must have a lot of power maana ukisema tu basi inakuwa, duh!
 
Back
Top Bottom