Labda amekuona ni $hit (your request).
Tawire keep it up
Labda amekuona ni $hit (your request).
Dr. Slaa hana sababu ya kuacha ishu muhimu za wananchi kuja kujibu hizi nonesense, ukweli ni kwamba tumeshindwa kuheshimu kuwepo kwake hapa na sitashangaa asiporudi tena,
Mimi nilifikiri tutamuuliza maswali serous kuhusu maendeleo ya taifa letu, na exactly maana ya ufisadi ni nini since yeye ndiye muanzilishi wa hii theory, haya mawswali yanaweza kutusaidia nini sisi wananchi wa kijijini?
Ndivyo tulivyo, yaani Mi-Afrika!
Si katika mambo ha udaku. Kwanza toa attribution ya stori yako and we will take it from there.Sasa vipi kuhusu ile kauli mbiu "komkoma nyani giladi" or "we dare to speak openly" hazifanyikazi tena ktk mazingira haya?
Sasa vipi kuhusu ile kauli mbiu "komkoma nyani giladi" or "we dare to speak openly" hazifanyikazi tena ktk mazingira haya?
Si katika mambo ha udaku. Kwanza toa attribution ya stori yako and we will take it from there.
kila siku iendayo kwa Mungu, wananchi tunabadilika na ku-grow up, tumekuwa hapa long enough kujua what we stand for and what we stand on,
Kumkoma nyani giladi iwe ni kwa faida ya kutetea wananchi, au taifa sio kwa sababu ya kumnasa au kum-gotcha kiongozi wa taifa aliyejitolea kuja hapa kujiunga nasi tena voluntarily, I mean haya maswali ili yawasaidie nini wananchi wa vijijini?
Tutamkoma nyani vipi na majina 100?
Maskini Watanzania, kwa nini tunawaachia Mafisadi kuwanyongónyeza wapiganji wetu kwa hizi mbinu chafu,
Hawatatuachia hawa, Wakimmaliza Mbowe watakuja kwa Dr. Slaa wakimmaliza hawatapumzika wataenda kwa Zitto na hata Wapiganaji Wengine.
Mimi nadhani kuna haja ya Kuwalinda hawa wapiganaji kwa maana wamekuwa ni Sauti za Bibi zetu, dada zetu, babu zetu, baba zetu na hata kaka zetu ambao wameathiriwa kwa kiasi kikubwa na Ufisadi.
wakimmaliza Dr. Slaa ni nani atawazungumzia Wastaafu wa iliyokuwa EAC? Ni nani atawakaripia Wabadhirifu wa Uchumi wa Nchi hii? Je Tunataka mafisadi waanze tena Kulala usingizi mtamu? However anayetetea maslahi ya walalahoi from the heart MUNGU ATAMLINDA DHIDI YA FITNA ZOZOTE.
Ni kilio chako always, majina 100, majina 100, majina 100 wimbo ushazoeleka huo... huna mpya?
Una ushahidi?
Dr. Slaa hana sababu ya kuacha ishu muhimu za wananchi kuja kujibu hizi nonesense, ukweli ni kwamba tumeshindwa kuheshimu kuwepo kwake hapa na sitashangaa asiporudi tena,
Mimi nilifikiri tutamuuliza maswali serous kuhusu maendeleo ya taifa letu, na exactly maana ya ufisadi ni nini since yeye ndiye muanzilishi wa hii theory, haya mawswali yanaweza kutusaidia nini sisi wananchi wa kijijini?
Ndivyo tulivyo, yaani Mi-Afrika!
Naomba kusema nimesoma post ya Mnyika ya kwanza tu... sijasoma sehemu nyingine yoyote... ila naomba kuchangia kwa post hii moja.
Mjadala huu hauna tija... baada ya kujua ya Dr. Slaa then what next?
Jadili kukomboa nchi iliyoko kwenye umaskini mkubwa...
na asiporudi tena hapa sita muelewa na nitamuona si mpiganaji.......nitanshusha sana...
MJUE DR SLAA
Mpaka sasa SLAA hana nyumba huko Karatu, badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa ni shoga.
Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho. Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988. Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko.
Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu. Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na 僧wizi・wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.
Dr. SLAA anasumbuliwa na 爽gonjwa mkubwa・ Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa 組onjwa moja hatari sana ・
Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani. Ushahidi upo kama atafanya ubishi.
Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko. Inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu walishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la 全imbosh・
Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.
Ujumbe huu ambao inaaminika MBOWE na ZITTO KABWE wanausambaza kwa kasi umemtia hofu Dr. SLAA kwani anajua yapo mengi yanayomhusu ambayo asingependa yajulikane. MBOWE na ZITTO wanaungwa mkono na chama cha CUF ambacho nacho kinadhani CHADEMA imekipiku katika umaarufu wa upinzani. Sera ni jino kwa jino.