Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

Hivi mil 300 unaweza kufanya mambo yote aliyoyataja huyu jamaa? Kununua nyumba dubai ni sh ngapi? Kujenga nyumba kunduchi sh ngapi? Kufanya ukarabati wa billz sh ngapi? Mtoa mada akajipange upyaaaa!!
Wachuuzi wa mboga sokoni hao wanadhani nyumba dubai ni sawa na kibanda cha Tsh. Laki 2. Ukibishana nae huyu no one will notice your mental health(that who's fit n' who's unfit)!!!
 
Hivi mil 300 unaweza kufanya mambo yote aliyoyataja huyu jamaa? Kununua nyumba dubai ni sh ngapi? Kujenga nyumba kunduchi sh ngapi? Kufanya ukarabati wa billz sh ngapi? Mtoa mada akajipange upyaaaa!!
wewe unazungumzia million 300
Umeacha wapi pesa ya akaunti ya uchaguzi?hivi unajua account imekwanguliwa yote na Mbowe+slaa...wakati huo kamati kuu uliazimia kuwa asilima tajwa ni lazima ziwekwe kwenye account ya uchaguzi wa 2015..
CHADEMA inapata ruzuku kwa mwezi ni MILLION 253/=.Mpaka leo chama kimepata BILLION 3 tangu uchaguzi umalizike mwaka 2010 lakini hadi dakika hii ni hakuna kitu.Pesa ya uchaguzi wa Arumeru zimechotwa toka account ya WADHAMINI.
 
Mkuu unataka chanzo gani wakati jambo lipo wazi pesa alizotoa Sabodo mpenda maendeleo zipo wapi? au umeishawahi kusikia viongozi wa Chadema wamezitolea maelezo?

Na nyumba ya Slaa, Kunduchi beach, ujenzi wa Billcanas.

Mzee Sabodo pesa zako zinafanya kazi nyingine.

Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

Criiiii Criiii Criiii Criiii
Ritz:
Dah! Mhashimiwa anapiga simu. Naam Mkuu!

Nape:
Habari yako Comrade?

Ritz:
Salama tu Mheshimiwa

NAPE:
Kazi niliyowapa inaendaendaje?

Ritz:
Inaendelea vizuri tu Kamanda

NAPE:
Jana nilipita JF nikakakuta thread nyingi ni Pro-CDM

Ritz:
Ni kweli Kamanda. Tunaendelea kupambana si unajua mwanzo mgumu

NAPE:
Alafu hivi Malaria Sugu yupo? Sioni kabisa thread na coment zake siku hizi!

Ritz:
Afadhali umeuliza Mkuu. Usema kweli Rejao, FF na MS wananitegea sana. Na ndiyo maana thread za Pro-CDM zinaongezeka kwa sababu kazi inanizidi kimo

NAPE:
Waambie sitaki mchezo. Chama kinawalipa alafu kazi hawafanyi! Waambie ntawashtaki kwa Katibu Mkuu

Ritz:
Sawa Kamanda. Sasa Vipi kuhusu mishahara yetu ya mwezi uliopita na mwezi huu?

NAPE:
Wa mwezi uliopita mtalipwa mwezi huu ila wa mwezi huu msubiri kwanza. Si mnajua chama kina Crisis ya fedha. Ruzuku yenyewe si mnajua ni Shilingi 800 Million tu!

Ritz:
Sawa Kamanda. Kitu kingine Mkuu tufanyieni utaratibu mtununulie Laptop maana kazi ya kuingia kwenye Internet Café kufanya kazi ya Chama ni ngumu sana. Kwanza ni gharama na pia tunakuwa at risk kugundulika kwa Wananchi

NAPE:
Hilo ntalifanyia kazi. Kitu kingine?

Ritz:
Hamna Kamanda!

NAPE:
Sawa basi emu ingia sasa hivi JF Jukwaa la Siasa naona kuna thread inamuhusu Hamad Rashid, Regia Mtema na Godbless Lema. Emu kazicrash crash!

Ritz:
Sawa Mkuu!

NAPE:
Haya kazi njema Mpiganaji!

Source: https://www.jamiiforums.com/jokes-u...zungumzo-kati-ya-nape-na-rtz-kwenye-simu.html
 
Hivi mil 300 unaweza kufanya mambo yote aliyoyataja huyu jamaa? Kununua nyumba dubai ni sh ngapi? Kujenga nyumba kunduchi sh ngapi? Kufanya ukarabati wa billz sh ngapi? Mtoa mada akajipange upyaaaa!!

Mkuu msome vizuri mstari kwa mstari ni Sh700 Milioni hizo Sh300 milioni walipewa taslimu.
 
wewe unazungumzia million 300
Umeacha wapi pesa ya akaunti ya uchaguzi?hivi unajua account imekwanguliwa yote na Mbowe+slaa...wakati huo kamati kuu uliazimia kuwa asilima tajwa ni lazima ziwekwe kwenye account ya uchaguzi wa 2015..
CHADEMA inapata ruzuku kwa mwezi ni MILLION 253/=.Mpaka leo chama kimepata BILLION 3 tangu uchaguzi umalizike mwaka 2010 lakini hadi dakika hii ni hakuna kitu.Pesa ya uchaguzi wa Arumeru zimechotwa toka account ya WADHAMINI.

Mkuu unaonekana unazijua hizo account! Kwa maana hiyo ni kwamba Chuo hakijajengwa?

Kwa kweli nilisikia suala la visima tena kijana wangu ambaye anaitumikia CDM alikuja akaniambia kwamba CDM itajenga visima kibao na hata ninapoishi pia tutapata kisima cha CDM; nikasema CDM itatukomboa na shida ya maji lakini kwa kweli imekuwa kimya. Kesho nitamuuliza huyu kijana kwa kuwa sasa amelala; ila najua hana majibu ni mdogo tu kwenye chama na ni wale wa kujitolea kwa hali zao.
 
Hatukurupuki kujibu,slaa,mbowe na ZITO au kiongozi yeyote aje akanushe ufisadi huu..ilitutoe vilelezo vya hiki kinachozungumzwa na MWANAHALIS
 
Haya mambo yanaweza kuwa majungu ama la. Ila kwa ujumla wake yanatisha sana hasa ikizingatiwa CDM na viongozi wake ndio tegemeo la watanzania kuondokana na minyororo ya CCM. Haya mambo yanahitaji majawabu.

Moja nimelisikia kama miezi miwili hivi iliyopita; kwamba KUB amelichukua kimya kimya gari la rasmi la KUB. Hayo mengine sijui. Ila linalotisha zaidi ni hili la Mwenyekiti wa CDM kununua nyumba Dubai na kuikarabati kwa ajili ya kuwahamishia ndugu zake huko. Kama ni jungu basi ni jungu baya sana inabidi litolewe kauli si la kuacha hivi hivi. Kama kiongozi ana mpango wa kuhamishia ndugu zake ughaibuni hapa kuna ujumbe gani?

Mkuu Kimbunga.
Kilicho nistua zaidi ni mshahara wa walinzi wa Josephine wa laki tano kila mmoja kutoka ndani ya Chadema.
 
kama mtu umetumwa kuchafua pasipo chafuka utachafuka mwenyewe tu!,kama hujui cdm hakuna mafisadi wala ufisadi kama mlivyo ninyi ma...G..A na mfa maji haach kutapatapa,kaa ukijua kuwa cdm na viongoz wake tunawapenda ila wewe umekurupuka tu kama mtu aliyefumaniwa ugoni na mke wa jamaa au rafiki yake.Ondoa uchafu wako hapa kwenye hili jamvi kwani hauwez kuucheza huu mziki unawenyewe na wewe utaumiza akili na kupoteza muda wako bure,kajipange!
 
Mkuu Kimbunga.
Kilicho nistua zaidi ni mshahara wa walinzi wa Josephine wa laki tano kila mmoja kutoka ndani ya Chadema.

Mkuu nitaomba Mwanahalis atoe ufafanuzi kuhusu hili. Walinzi wa kanisa analosali Josephine kuna uhusiano gani na CDM pamoja na michango yetu sisi kupitia M-pesa? Kuhusu hili la kanisa na kusali naomba nisilisemee kwa kuheshimu uhuru wa wahusika.
 
Kwa uchambuzi wa mtoa mada sio kweli kwamba 300millions zinaweza kufanya shughuli alizotaja! Huo ni uwongo na tuhuma haziwezi kuwa hivyo bali ni UDAKU.
 
kama mtu umetumwa kuchafua pasipo chafuka utachafuka mwenyewe tu!,kama hujui cdm hakuna mafisadi wala ufisadi kama mlivyo ninyi ma...G..A na mfa maji haach kutapatapa,kaa ukijua kuwa cdm na viongoz wake tunawapenda ila wewe umekurupuka tu kama mtu aliyefumaniwa ugoni na mke wa jamaa au rafiki yake.Ondoa uchafu wako hapa kwenye hili jamvi kwani hauwez kuucheza huu mziki unawenyewe na wewe utaumiza akili na kupoteza muda wako bure,kajipange!

Mkuu sisi wengine huwa hatuna vyama wala mahaba; kuna mengi mtoa maada ameongea kwa hiyo yote ni uchafu tu? Kwangu mimi nimeambulia mawili:
  1. KUB amelichukua gari la KUB kimya kimya
  2. CDM walisema watajenga visima ila sioni hata mchakato.
Hayo mawili tu nina hakika nayo mengine sijui. Kwa maana hiyo ni kwamba alichokiandika mtoa maada siyo uchafu mtupu kuna hoja.
 
Mmhh hayo mengine sijui ila kununua nyumba Dubai kwa shilingi milioni mia tatu (300,000,000); hata hapo kariakoo hupati nyumba kwabei hiyo.
Kama utasema Sabodo alitumika kama kivuli cha CCM/serikali kuwapa CHADEMA pesa kwa ajili ya kampeni, :A S crown-2:hapo naweza nikakuamini kidogo.

Hizo kasumba hazina tofauti na wanaJF wenye kasumba za udin.....; kupokelewa kwa Lipumba umeona thread iliyotumwa humu ndani ambayo wameshindwa kuficha udini wao wanaJF (wanachadema)

Hatukurupuki kujibu,slaa,mbowe na ZITO au kiongozi yeyote aje akanushe ufisadi huu..ilitutoe vilelezo vya hiki kinachozungumzwa na MWANAHALIS
 
Nafikiri tuanze kuchapana BAN mtu akidanganya!!!
Kinachojengwa pale ni Jengo Jipya la RITA ambalo liko pembeni ya Bills
 
cdm achen kupayuka jengen hoja bwana mnaboa sana,ila akiandikwa mkapa humu au ccm mnaleta pumba,akizungumzwa slaa au mbowe mnakuja juu,MTAUA CHAMA MAANA MNACHANGIA KISHABIKI SANA,NA WENGI WENU NI SERENGETI BOYS
 
Mkuu unapokuja na habari yoyote humu jaribu kuwa makini sana,sisi wote tunajua billikana ni sehemu ya biashara na inaingiza pesa nyingi tu,sasa je kwa faida inayopatikana haiwezi kufanya ukarabati?na unaposema pesa nyingine zimeenda kujenga nyumba ya Slaa,je Slaa mwenyewe hana uwezo wa kujenga nyumba kwa mfuko wake? Halafu tunaomba utuletee ushahidi ili tuone maelezo yako yanaukweli au ni Meru ndio imewachanganya?
 
Ama kweli wewe ni mwanahalisi ! kwa hesabu ambazo umetupatia hapa ni dhahiri kwamba hayo ni majungu! Kama shs. 300 millioni za kitanzania sawa na Dola za Kimarekani 187,500 zinaweza kununua nyumba Dubai na kukarabati ukumbi wa BILLICANAS na zitoke kwenye account ya CDM kwa pv yenye taarifa hizo!.Mara nyingine ni vyema unapotaka kuandika kitu uelewe pia members wa jamii forum wana uwezo wa kuchambua na kubaini ukweli.Huu sio wakati wa propaganda ambazo hazina tija ndugu yangu!!!!---
 
Back
Top Bottom