Huu ndiyo umuhimu wa kuoa/kuolewa

hapo kwenye heshima, ndoa haileti heshima, tabia zako, mwenendo wako ndo unaoleta heshima....

Mh ukiwa na heshima na tabia na mwenendo mwema kama una miaka yako 35 halafu hujaoa ama kuolewa wewe kama muuni tu!!! utakuwa topic kwenye vikao vya ndugu, jamaa na marafiki... utaambiwa una kasoro!!! SO NDOA INA HESHIMA YA AINA YAKE.
 
Back
Top Bottom