STDVII
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 1,617
- 669
hapo mbowe hana cha kupoteza. maana kupitia kwa lowasa wabunge wataongezeka na fungu la ruzuku litaongezeka na biashara zake zitamnyookea. mbowe hajali sana hata kama lowasa atakosa. kama amewatosa slaa na zitto watu ambao wamekitoa chama shimoni atakuwa huyo lowasa?
kwa seif ndo kama ulivyosema. anajaribu nafasi yake ya mwisho, akikosa mwaka huu ndo kwa heri tena.
Ili kufikia malengo yake Itategemea Dr Slaa ataongea nini