Kumbe Tanzania ndiyo nchi pekee duniani yenye mkataba wa IGA na Dubai Emirate

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,953
4,326
Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai.

Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South Africa, haziwezi kuvunja hii IGA. Kumbe IGA hii haitambuliki kimataifa kwani inavunja sheria za kimataifa. Na mengine mengi, msikilize anavyodadavua kitalaam.

View: https://youtu.be/zVfE3P3pzgA
 
Yaani kuanzia pale nilipoona Supika anaungana na kina Kitenge kuwapambania DP World nikajua tayari tunapangwa!

NB: Huu ni muda muafaka wa kuisambaratisha ccm! Tufanye system overhaul!
Tanzania ni ya Watanzania.
Tanzania siyo mali ya vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo hivyo vinapaswa kuwasaidia Watanzania kufikia malengo chanya ya nchi.

Leo watawala wameshaliteka Bunge na Mahakama, wanapitisha sheria watakavyo. Wanawafunga Watanzania watakavyo.

Tunahitaji kuona uhuru unatafsiriwa kivitendo na si kwa nadharia
 
Tatizo ni Elimu duni na Njaa...
 
Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai.

Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South Africa, haziwezi kuvunja hii IGA. Kumbe IGA hii haitambuliki kimataifa kwani inavunja sheria za kimataifa. Na mengine mengi, msikilize anavyodadavua kitalaam.

View: https://youtu.be/zVfE3P3pzgA

Na ndio maana hawataki mgogor outatuliwe ICSID
 
Mimi naweza kurusha drone wewe unaweza kusaidia nini bandari irudi?
Sisi nguvu yetu ni Mungu

Na Bakwata wakija na way forward tofauti?
Haitakuwa tofauti kwani Mungu ni yule yule. Bibilia na Kurani zinahubiri yale yale, hazina tofauti.

Na ndio maana hawataki mgogor outatuliwe ICSID
Kitu ambacho ni kinyume na sheria za kimataifa za kushughulikia international investment disputes.

Kwa hiyo TEC ndo Chama chenu cha siasa?
Rasilimali za nchi si mali za vyama vya siasa. Ni mali zetu wote, wenye dini na wasio na dini, wenye vyama vya siasa na wasiokuwa na vyama vya siasa.

Mwabukusi: DPW ni wajanja wa hapa hapa.

Kumbukeni yule mtu wajomba zake ni waarabu. Kwahiyo ndiyo maana ameamua kujitoa kimasomaso
Sidhani kama sababu ni hiyo. Atakuwa kachomekewa tu na wajanja waliovuta mpunga.

Tatizo ni Elimu duni na Njaa...
Tanzania sasa hivi ina watu wengi sana wenye elimu kuwapita hata hao watawala na wanasiasa wetu. Tanzania ya leo siyo sawa na ya enzi za Mwalimu na Mkapa. Ni ngumu kuwaburuza kama alivyofanya spika Tulia.

Huyo mzee anatetea serikali kuminya uhuru wa kujadili mustakabali wa nchi
Bado anapambana kuacha legacy yake ya bandari ya Bagamoyo na katiba mpya. Alishachelewa, angepumzika tu asimchanganye rais wetu. Magufuli aliwapiga ban marais wastaafu kumwingilia kwenye kuendesha nchi. Aliwataka wanyamaze.

Siyo ndogo
 
Back
Top Bottom