Kifuniko
Member
- May 20, 2011
- 97
- 17
Hivi nashindwa kuelewa kila uendapo nchini kwenye mitaa utakuta kuna vyama vya kina mama utasikia tu mke kaaga naenda kikao tuna chama chetu cha kukopeshana lakini huwezi hata siku moja kuona kaja na burungutu. Hivi mbona kina baba hawana hivyo vyama na ndio wanaotegemewa kwenye familia. Au sijaelewa maana wanaume wakiweka chama utasikia umetutenga , ubaguzi wa jinsia wakati hata wanaume wanahitaji misaada na mikopo. Hebu nijuzeni