Husna Mwilima aukwaa U-DC Tandahimba

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
268
163
Wadau JF,

Jamani nimesoma kwenye Gazeti la Mwanachi la jana 10/4/2010 kwamba huyu mama ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa UWT, amepewa Ukuu wa Wilaya ya Tandahimba.

Sasa hii imekaaje,Kule UWT, Mkutano Wa baraza kuu la UWT,walitoa Tamko kuwahafai, utendaji wake ni mbovu na dhaifu,huku JK amemteua kwenda kushika wadhifa huo,ili kuimarisha ufanisi wa kazi.

Hii Vipi tena jamani?
 
Mawili...
Aidha UWT walimwonea na ni mtendaji mzuri....au JK ahjui kupima ufanisi wa mtu kuliko UWT
 
Katika mambo ambayo yamenishangaza sana ni hili.Lakini ndiyo hivyo jambo usilojua ni kama usiku wa giza.
Kamati ya Halmashauri ya UWT na Rais nani amekwenda tofauti?
 
Mawili...
Aidha UWT walimwonea na ni mtendaji mzuri....au JK ahjui kupima ufanisi wa mtu kuliko UWT

kabla hajawa Katibu mkuu wa UWT Alikuwa DC wa Hai, Hivyo JK anajua utendaji kazi wake ni mzuri hata kule Hai wanamlilia.UWT ni majungu na Umbea na yeye ni alibrave and bold enough with straight forward sentences.
 
Inawezekana kweli huko UWT kumejaa majungu na umbea.yah ,inawezekana amekuwa tishio kwao.
 
kabla hajawa Katibu mkuu wa UWT Alikuwa DC wa Hai, Hivyo JK anajua utendaji kazi wake ni mzuri hata kule Hai wanamlilia.UWT ni majungu na Umbea na yeye ni alibrave and bold enough with straight forward sentences.

Nilicho mpendea hakujibizana nao UWT wenzie akachukua low profile....labda ndio kilichompa strength mpya kisiasa na inawezekana SMS(Sophia Mnyambi Simba) aligundua makosa yake akamuobea ulaji kwa JK
 
Tangu lini JK kachagua watu kutokana na utendaji wao? Mbona mwenyewe hana utendaji kabisa! Ukichunguza vizuri teuzi zake tango mwanzoni, utaona kuna vigezo anaangalia, but utendaji is not one of them!
 
Back
Top Bottom