Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 4,971
- 6,520
[h=5]Kweli kifo kinaogopwa
Jamaa aliingia msikitini kwa kasi na panga mkononi huku jasho likimtoka, akauliza nani muislamu humu ndani? waumini wote kimya... jamaa akauliza tena, nani muislamu humu? waumini kwa mara nyingine wakakaa kimya! Jamaa akamshika mkono muumini mmoja aliyekuwa karibu na mlango akatoka naye nje akamwambia naomba unichinjie mbuzi wangu, yule muumini akamchinja yule mbuzi ila akamwambia kuchuna ngozi siwezi labda ukamchukue muumini mwingine, jamaa akarudi tena ndani na panga lake likivuja damu, imamu kuona vile akatoa sauti kubwa TUMSIFU YESU KRISTO waumini wote MILELE AMINA!!! Aha ha ha[/h]