Hupaswi kupitwa na hiki kichekesho...hebu kisome

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,800
6,280
[h=5]Kweli kifo kinaogopwa
Jamaa aliingia msikitini kwa kasi na panga mkononi huku jasho likimtoka, akauliza nani muislamu humu ndani? waumini wote kimya... jamaa akauliza tena, nani muislamu humu? waumini kwa mara nyingine wakakaa kimya! Jamaa akamshika mkono muumini mmoja aliyekuwa karibu na mlango akatoka naye nje akamwambia naomba unichinjie mbuzi wangu, yule muumini akamchinja yule mbuzi ila akamwambia kuchuna ngozi siwezi labda ukamchukue muumini mwingine, jamaa akarudi tena ndani na panga lake likivuja damu, imamu kuona vile akatoa sauti kubwa TUMSIFU YESU KRISTO waumini wote MILELE AMINA!!! Aha ha ha[/h]
 
Hii imetokea kwenye harakati za maandanano ya kutaka kushinikiza kuachiwa kwa mleta vurugu ponda.
 
Hii imetokea kwenye harakati za maandanano ya kutaka kushinikiza kuachiwa kwa mleta vurugu ponda.
Angeenda na ubwabwa alafu aulize hivyo angeshangaa kuona kanzu zimegeuka bendera kukimbilia jamvi palipowekwa ubwabwa maana jamaa kwa ubwabwa...hawajambo nadhani Allah atakua anapatikana kwenye ubwabwa eeeh
 
Nasikia Ponda kashapata B.A.S.H.A pale Keko Lupango?Mwenye taarifa Atujuze maana naskia ni dogo aliyekojolea mu....fu anajisevia.
 
Ila kama haina ukweli ndani yake, si vizuri kuiweka hapa katika kipindi hiki ambacho bado wana hisia tofauti juu ya mpasuko uliopo baina ya imani moja na nyingine. Inaweza kuchochea kundi fulani kujisikia wao ni wakoseaji wa kila watendalo na mwisho wa siku tukaibomoa Tanzania yetu kwa kauli zetu hizi sisi wenyewe!
 
Angeenda na
ubwabwa alafu aulize hivyo angeshangaa kuona kanzu zimegeuka bendera
kukimbilia jamvi palipowekwa ubwabwa maana jamaa kwa ubwabwa...hawajambo
nadhani Allah atakua anapatikana kwenye ubwabwa eeeh

Siku hizi mpaka jokes zinatumika kutukana imani za watu? Haipendezi hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom