THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 1,760
- 3,323
Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga.
Kuna kauli Nyingi zimeanza kutoka Mara
Mo kaweka Fungu ili apate Imani kwa mashabiki kwahio Mashabiki wa yanga hamtoamini.
Mara Team za Kariakoo hua zinatabia ya kubebana pale mmoja anaharibu ili kuwa nusuru viongozi kwahio Yanga atamwachia Simba ili viongozi wasizomewe siku hio.
Mara Derby haitabiliki Simba kaenda Zanzibar so Yanga msijiamini.
Yani kumekua na Kauli za kuwaogopesha Yanga kwa Lazima huu sio utaratibu waacheni Mashabiki wa Yanga wajiamini Maana ile ni Team yao msiwapangie kama nyie hamna Imani na Team yenu ni Nyie.
Hio ndio maana ya Mpira jana City walikua wamebeba hadi mabango ya siku zilizobaki kwenda Wembly Finali ya UEFA Mliona kuna watu walikua wanawaambia msijiamini sana?
Mliona hata Pundit mmoja anasema hayo?
Ila Bongo sasa, wachambuzi wamekua ndio mstari wa mbele saiv utasikia Mashabiki wa Yanga wasijiamin wanaweza wasiamini macho yao,Jamani waachen wajiamini na Team yao kuna kipindi waliteseka sana walikua hawana imani hata wakicheza na Mtibwa, wameanza kua na Imani na kufurahi napo mnaanza kuwapangia kiwango cha Furaha yao?
Jamani waachen mashabiki wa Yanga wajitambe na kama Mashabiki wa Simba nao wataamua waanze tu kujitamba nao sio kulazimisha Yanga wanyamaze sio Mpira,kwenye Mpira hua kuna Tambo na mtu usimoangie tambo zake na kingine..
Mashabiki sio wachezaji wa katikati ya Uwanja wenyewe ni wa Nje ya uwanja so mkitaka wapoe maana yake wale wa katikati ya uwanja watapoa nao hizo mbwembwe wanazozifanya Yanga wakizisikia wachezaji wao lazima wawe makini wasipoteze, ila mkisema mashabiki wafunge mdomo Aziz Ki lazima ajiulize mbona hawa hawatupi Motisha wakat Mara nyingi tumewapa Furaha kumbe hatuna Maana!!!
Lazima wajiulize hivo.
Mpira una tambo na tambo ni za mashabiki waachen watambe wawezavyo daily tunasema mpira mashabiki tena walio jawa na hamasa sa mnataka Yanga waweje?
#SHABIKI WA KOLO LIA LIA WAS HERE