Hungary inanuniwa huko ulaya: Kisa inauza mafuta na gesi kwa raia wake kwa bei ndogo, akija raia wa nchi nyingine anauziwa kwa bei kubwa!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,037
Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake zinazopelekwa ukraine. Kwa hiyo Hungary bado inapata gesi na mafuta kwa wingi toka urusi. Matokeo yake ni kwamba, wakati nchi zingine za ulaya bei ya mafuta na gesi imepanda sana, lakini huko hungary bei ya mafuta na gesi iko chini. Matokeo yake ni kuwa kumekuwa na wimbi kubwa la watu kuwa wanaingia hungary na magari yao toka nchi zingfine za ulaya kuja kununua mafuta na gesi kwa bei ndogo. Hungary ikaona kuwa matumizi ya mafuta na gesi yamekuwa makubwa kuliko kiwango ambacho huwa inaagiza. Ili kuwakatisha tamaa wanaoingia nchini nkwake kufuata mafuta ya bei rahisi huku wakiyakimbia mafuta ya nchini kwao ya bei ya juu, ikaamua kuwa inawauzia mafuta na gesi kwa bei kubwa kama ile ya nchi walikotoka. Hilo ndilo kosa analotuhumiwa nalo hungary na wazungu wenzake, na wameamua kuchunguza ili wapate uthibitisho ili wamshitaki kwa ubaguzi!!

Ikumbukwe kwamba hizo nchi zinazolalamika zingine zilikataa kulipia gesi ya urusi kwa ruble na hivyo kukatiwa gesi matokeo yake bei ya gesi iko juu sana nchini kwao! Wanashangaza maana wao wenyewe wameidengulia gesi ya urusi na kusababishia ugumu kwa raia wao halafu wanainunia hungary kwa kuwauzia kwa bei kubwa!

Hungary probed over fuel subsidies​

The EU is looking into whether locals are paying less for petrol in the country.
The European Commission announced on Friday the launch of a so-called infringement procedure against Hungary for its locals-only cap of fuel prices.

According to the report, Hungary imposes different fuel prices for vehicles with foreign and local license plates.

“Vehicles with Hungarian number plates, including tractors and agricultural machinery with Hungarian documents, are entitled to lower official fuel prices by 60 to 70%. In contrast, all other vehicles with a foreign number plate cannot benefit from such reduced prices.

Hungary Gasoline prices, 11-Jul-2022
Hungary Gasoline pricesLitreGallon
HUF758.8002,872.369
USD1.8717.083
EUR1.8647.056
United Kingdom Gasoline prices, 11-Jul-2022
United Kingdom Gasoline pricesLitreGallon
GBP1.9067.215
USD2.2678.582
EUR2.2588.547

EU waache uchichidodo

Hawataki kinyesi ila wanapenda funza walio ndani ya kinyesi
 
Hii ndo maana ya kulipia ujinga. Safi Hungary.
 
Kuna video nimeona Kwenye mtandao jinsi raia wa Uingereza wanavyopanga kusubiri chakula kanisani ila huwezi ikuta BBC hiyo wanapost waAfrica tu,,,Ulaya hali ni tete sema wameamua tu kumkazia shingo mrusi na vikwazo vyao ambavyo vine warusi a wenyewe!
 
Mkuu waweza iweka hapa hiyo vidio hapa
 
Back
Top Bottom