Hundreds of new members continue to join CHADEMA

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Fri, Aug 24th, 2012

Tanzania |

By Teonas Aswile

Different Morogoro residents have continued to join in Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA blaming that the ruling party has failed to lead them into a better life.

One-of-CHADEMA-Morogoro-meetings.jpg

One of CHADEMA Morogoro meetings

Speaking to one of
Dar es Salaam based TV station today afternoon, Coordinator of Movement for Change M4C; Benson Kigaila said their routes to different villages have been stopped for a while by villagers who ask for membership IDs and reporting to them their challenges.

"Many villagers blame that development projects promised by the ruling party have not been fulfilled hence they have decided to join CHADEMA."

He said they are sure if all residents understand their call, M4C will be a real successful campaign towards their plans of winning 2015 general election.

OH WOW!!! that's what I can say... I don't see free HAT's; KHANGA's TRANSPORTATION's... PEOPLE's OWN WILLING POWER... MOVEMENT OF THE PEOPLE!!!
 
The only news we would like to hear from now on. Well done Mr. Freeman and your team. Keep pushing and finish this business before 15......
 
Jamani Umoja ni.Nguvu Utengano ni Dhaifu kumuondoa ccm inahitaji Umoja bila kujali dini,kabila,elimu if we unite we will make it happen Tanzania inazeeka kwani imefikisha miaka 50 ila imechakaa uwezo wa kuirusha sehemu tutakayo tunao,nia tunayo na uwezo tunao hivyo M4C
 
NAPE anaweza kuwa na watu wengi kama hawa? kwa hiari???
 
Ukisoma hii habari utaona sababu inayotolewa ya watu kutaka kujiunga CHADEMA ni CCM kushindwa kukamilisha ahadi za mipango ya maendeleo.

Kiundani, hawa watu hawajajiunga CHADEMA zaidi ya kuondoka CCM na kuingia chama kingine kilichoonekana karibu.

CHADEMA inabidi isibweteke na kufurahia tu wanachama wapya, inatakiwa kufanyia kazi sababu zilizowafanya wanachama hawa waondoke CHADEMA.

Mie mwenyewe nimeenda huko vijijini, nimeona watu wana mwamko wa kuingia CHADEMA hata kabla ya kuijua vizuri CHADEMA ikoje.

Huu ni mtaji mkubwa wa kisiasa kwa chama chochote cha kisiasa.

CHADEMA msiufuje na ku disappoint wananchi.
 
.

One-of-CHADEMA-Morogoro-meetings.jpg

One of CHADEMA Morogoro meetings

Kwa Nyomi hili... MWENYE MACHO NA ASIKIE NA MWENYE MASIKIO NA AONE.
NGUVU YA UMMA!
 
Ukisoma hii habari utaona sababu inayotolewa ya watu kutaka kujiunga CHADEMA ni CCM kushindwa kukamilisha ahadi za mipango ya maendeleo.

Kiundani, hawa watu hawajajiunga CHADEMA zaidi ya kuondoka CCM na kuingia chama kingine kilichoonekana karibu.

CHADEMA inabidi isibweteke na kufurahia tu wanachama wapya, inatakiwa kufanyia kazi sababu zilizowafanya wanachama hawa waondoke CHADEMA.

Mie mwenyewe nimeenda huko vijijini, nimeona watu wana mwamko wa kuingia CHADEMA hata kabla ya kuijua vizuri CHADEMA ikoje.

Huu ni mtaji mkubwa wa kisiasa kwa chama chochote cha kisiasa.

CHADEMA msiufuje na ku disappoint wananchi.

Vyama vya kisiasa hushinda chaguzi kutokana na chama kuaminiwa mfano hapa Tanzania ni CHADEMA ndicho chama kinaaminiwa kama mtetezi wa watu wasio na sauti na pia ni tumaini jipya kwa wananchi wawe ni wanachama wa CHADEMA au bila chama. Pia hata wana-CCM wanyonge wanakubali kuwa CHADEMA inaleta tumaini jipya hivyo usishangae pia wanachama wa CCM (wale ambao CCM siyo baba/mama) kuipa kura CHADEMA.

Kimsingi hapa ni CHADEMA kuendelea kutoa somo kwa wananchi mpaka kielewekw maana ukiona matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi vijijini na mijini, wananchi wanazipeleka CHADEMA wakiamini kuwa hoja hizo zitafanyiwa kazi basi hizo ni dalili tosha CHADEMA kuchukua nchi kupitia sanduku la kura mwaka 2015.
 
Kwahiyo kwa kujiunga na Chadema ndo watapata maendeleo kweli wamepotea njia tena wameingia chaka baya ni ndoto za mchana tena za mtoto kudhania Chadema wakipewa nchi watatimiliza hizo ndoto haiwezekani na HAWAWEZI na HAWATOWEZA ni ahadi HEWA tena chafu!
 
Nani kakwambia kuwa kinachowashinda ccm cdm hawakiwezi?.
 
Back
Top Bottom