Humphrey Polepole ni nani?

Huu mdahalo ni reply kwa bunge la katiba la CCM. Message sent loud and clear. Kwa mara ya kwanza in years nimekaa kimya kwa masaa 3 hata kombe la Dunia sikulikubali hivi. God Bless Tanganyika.
 
Nawombea asiwe mwanasiasa ciz kama akiwa haya tunayoyasikua kutoka kwake hatuta yasikia tena.
 
Ni mzuri. Namtamani BUNGENI kama mbunge binafsi(mgombea binafsi ikiruhusiwa). Zaidi ya hapo abaki hukohuko.
 
ndio vijana tujifunze kutoka kwake yale mazuri unayoyaona anayoyafanya kwa ufanisi

Mmmmm, ni mkweli sana mtu huyu. Sasa kwenye mifumo ya watu waongo hafai kabisa ni bahati mbaya sana kuwa alizaliwa Tanzania ambapo watu huheshimiwa kwa uwezo wa kusema uongo na hata kupanga kuwa watu wa umri fulani ni wa kufa siyo wa kusikilizwa. Hao wanaoweza kukufuru namna hiyo ndio wanapewa nafasi kwenye chama cha majinga. Polepole ni vigumu sana kuweza kukaa meza moja na wataalamu wa uchumi wananaoweza kujenga hoja kuwa serikali tatu ni mzigo utakaohitaji kozi za mbwa.
 
Pole pole alikuwa ni rebo nyeusi kaka.
Kama unakumbuka alikuwa pamoja na kiranja mmoja alikuwa mnoko sana baadae akapata div4 alikuwa anaitwa Nyakia.

Zao la Azaboy huyo, Humphrey alikuwa mtaalam sana wa Debates na mara kadhaa alitunyanyua kidedea wana Azania katika BP national-wide debate Competitions zilizokuwa zinafanyika pale BP kurasini. Aliyemtangulia Humphrey alikuwa debator mwingine naye alikuwa Mahiri sana akiitwa Barwani Mshale.

Rudisheni debate clubs mashuleni jamani, Vijana wa leo wa chuo kikuu wanashindwa kujieleza na kujenga hoja kwa vitu simple kabisa!!!

Aisee na mimi ni Azaboy!!!
 
Napendekeza huyu kijana polepole agombee kwenye tumehuru ya uchaguzi muda utajapo fika b'se huyu si mwanasiasa. KUBALI au KATAA
 
Zao la Azaboy huyo, Humphrey alikuwa mtaalam sana wa Debates na mara kadhaa alitunyanyua kidedea wana Azania katika BP national-wide debate Competitions zilizokuwa zinafanyika pale BP kurasini. Aliyemtangulia Humphrey alikuwa debator mwingine naye alikuwa Mahiri sana akiitwa Barwani Mshale.

Rudisheni debate clubs mashuleni jamani, Vijana wa leo wa chuo kikuu wanashindwa kujieleza na kujenga hoja kwa vitu simple kabisa!!!

Aisee na mimi ni Azaboy!!!

Hivi huyu ndugu Barwani mshale amepotelea wapi?Namkumbuka pia.
 
ni mwanachama mtiffu wa ccm,,,na hii ndio demokrasia pana ya ccm sio ya kupga magoti na kutopingana mawazo ya chadema
 
Back
Top Bottom