pablojunior
Senior Member
- Apr 15, 2014
- 159
- 38
yah azanature neve been a fake nigah.
Mjadala wa KAtiba uko Bungeni, Maamuzi yote yako Bungeni. UKAWA wako sahihi kabisa na hasa kwa kuzingatia sheria ilivyo. Hawataendelea na kikao maana hawana tumaini la kutoa maamuzi bila UKAWA. Huwezi kuendelea kujadili na kundi la watu ambao hawako tayari kusikiliza. Wamejipanga kupinga makofi na vigelegele bila sababu.
Wanazomeya bila sababu. Wanaingiza hayo ya ukabila kama yalivyotanjwa na Lipumba. Mbona UKAWA haijataja wasomali walioko CCM?
Mkuu, hata mie nahofia maisha yake. Hazina hii kwa taifa.Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Sikupingi, and hayo unayajua wewe mwenye upeo huo, ila nakuhakikishia kuwa mwananchi wa kawaida wa kule Namtumbo ndani kabisa anaelewa tofauti kabisa kuwa UKAWA wamekimbia bungeni (ndiko katiba inakotengenezwa) na yupo mtaani anafanya fujo
Kweli kabisa mkuu, UKAWA hawakujitoa kwa sababu ya kuzidiwa hoja bali matusi na vitisho dhidi ya yao tulikuwa tukishuhudia wenyewe.Mjadala wa KAtiba uko Bungeni, Maamuzi yote yako Bungeni. UKAWA wako sahihi kabisa na hasa kwa kuzingatia sheria ilivyo. Hawataendelea na kikao maana hawana tumaini la kutoa maamuzi bila UKAWA. Huwezi kuendelea kujadili na kundi la watu ambao hawako tayari kusikiliza. Wamejipanga kupinga makofi na vigelegele bila sababu.
Wanazomeya bila sababu. Wanaingiza hayo ya ukabila kama yalivyotanjwa na Lipumba. Mbona UKAWA haijataja wasomali walioko CCM?
Mkuu, nasikia wanataka kurekebisha upatikanaji wa hiyo 2/3 kwa hao waliopo bungeni.Yap! ni hivi, Nchi ikiwa ndogo pia kuna faida yake. Mtaji mkubwa kabisa wa UKAWA ni Z'bar, to be precise, Pemba! Z'bar ufahamu na misimamo ya kisiasa iko juu kuliko Tanganyika. Kwa UKAWA huo ni mtaji mkubwa sana na bahati nzuri watu kama Lukuvi wameongeza donda huko Z'bar. Fahamu bila 2/3 ya Z'bar katiba haipiti.
Sasa utawadhalau UKAWA kwa lipi? Wameshapata turufu. Waache CCM wapige vigelegele, wachungaji na Mashekh uchwala waunge mkono, wamo na ma-profesa hovyo pia wanaunga mkono na kujidai eti wana busara ya ku-analyse takwimu za Warioba. Lakini mwisho wa yote ni 2/3!
Hata hivyo hiyo mijadala ya Bunge bila UKAWA ina faida gani maana 2/3 inayotakiwa kupitisha vifungu haipo bungeni tena! Halafu mtu unakuja hapa na kuanza kuwadhalau UKAWA. Ni mengi yanayopita bila wannchi wa remote kufahamu.
Bunge gani hilo ni cartoon ya TOM & JERRY!
Mkuu, nasikia wanataka kurekebisha upatikanaji wa hiyo 2/3 kwa hao waliopo bungeni.
Absolutely right ... I like to listen to his commentsTunapozungumzia wazalendo na watu wenye KARAMA ya Mungu huyu jamaa pia yumo.
Hakika anayachambua na kuyaweka bayana kabisa masuala hususani yale ya kwenye Rasimu.
Jamaa ni mtu wa pekee kabisa,hakika anajua.Mungu amsaidie kwakweli.
Kama kweli una mtazamo CHANYA na haujajazwa MANENO utamwelewa sana bwana Polepole.