Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.

Wewe ni kijana wa usalama wa taifa nakujua vizuri lakini kumbuka wewe ni mtanzania kama mimi kutetea serikali dhalimu kama hii kaa ukijua hukumu yako inakuja.
 
Kijo Bisimba nae ameahidiwa kupewa uwaziri kivuli nini kwenye Chadema maana yupo bize kweli na kina Slaa kama Chama na Mogela.
 
Mama Bisimba na Human Rights defenders , nakubaliana kitu kimoja kuwa kilichofanyika kwa Dr Ulimboka siyo kitu kizuri.
Ingekuwa vizuri kuacha prejudice minds za watu kuwa nani ametenda tendo hilo . Tuwachie dola ifanye kazi yake na itoe report yake.
Kwenu nyinyi Human Rights Defenders kama mna wasiwasi na uchunguzi wa dola, basi na nyini fanyeni uchunguzi wenu na mtoe taarifa kwa wananchi. Sisi wananchi tuta judge nani anasema ukweli. Msiseme kuwa hamuwezi kufanya kwa sababu hamna hela. Mnafanya case studies nyingi na research kwa pesa kutoka nje na sasa tungependa mfanye uchunguzi kwa kuteua independent probe committe badala ya kutoa press release.
Mimi sijui mna defend rights za aiana gani.
Mimi ninaamini kuwa kila mtu ana haki ya kuishi. Je mgonjwa hana haki ya kupata matibabu na kuishi? Je hii ni njia nzuri (kuwanyima watu haki yakuishi) kupata suluhu na serikali. Mnaibuka tu wakati watu wamegoma na mna wasupport waliogoma na siyo wale wanao nyimwa haki ya kuishi.
 
NIMEAMINI WANAHARAKATI WANATUMWA

1- Kwa nini wanatumia kiingereza kutoa press release yao kama siyo kuwafahamisha wafadhili wao wzungu? sidhani kama wanatufahamisha sisi watanzania.

Hapo kwenye red: Unahofia nini kama wanawafahamisha wafadhili wao wazungu? Au hao wazungu ni pia wanakufadhili (i.e bajeti ya serikali, vyandarua vya mbu) na sasa unahofia bakuli litarudi tupu?
 
acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.



na wewe kasomee u docta ili uone umuhimu wa kuwa na clear mind wakati wa kutibu wagonjwa sio unakula hela za kifisadi tu halafu ndo unatukana .... kujitoa au kutolewa mhanga kuko kila mahali .... waulize libya au kina kinjekitile..
 
Sasa wewe ulitakaje? Wakae tu kimya bila kutoa tamko lolote lile kulaani alivyofanyiwa bwana Ulimboka?



Toa basi pendekezo la nini wangefanya au nini wafanye.
Nyani Ngabu hapa nilikuwa tu namjibu huyo jamaa lakini kuna post iliyotangulia ambayo nimeeleza ni nini nilitegemea wafanye. If you can quickly scan the first page, you will definitely understand what I thought it should have been done.
 
Last edited by a moderator:
Ah ndugu yangu elimu yenyewe ya ngumbaru sheria ntaijulia wapi? Mie nimeuliza tu kama ni sawa walivyoweka 'hadharani na kituhuma" kihivyo kwani hata uhusiano uliwepo lakini bila kuwa na kidhibiti si inawezawageukia? (Ndio maana nikasema pengine wanao ushahidi)

Sijui sheria mie ila nimedesea kisa cha Ray na Mange Kimambi alivyotaka kumshtaki kutokana na kumuhusisha na kifo cha marehemu Kanumba.

Oryt hapo nimekuelewa acha hawa jamaa wapigane na haki mwisho wa cku itajulikana kama ilivyokua kwa sokoine.
 
KIBE HUNA UPEO NADHANI ULIKOSA HEWA YA OXYGEN WAKATI WA KUZALIWA ILA WAMEKUSAMEHE SIYO KOSA LAKO. ACHA WATANZANIA WENYE MOYO TUWAUNGE MKONO MADAKTARI. NDUGU ZAKO WALIKUFA KUTOKANA NA UZEMBE WA SERIKALI YAKO. UDHAIFU USIO NA KIKOMO. NA ANITWA DK ULIMBOKA SIYO olomboka.
 
acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.
Wow unawezakututajia madai unayoita ya 'msingi' yaliyotekelezwa? Wameongeza posho ya kufanyia uchunguzi maiti, hilo ni dai la msingi? Na hamna aliyeomba, ndio uone jinsi serikali yako inavyojitahidi kushuhulika na wewe ukiwa mfu wakati Ct scan muhimbili haifanyi kazi, pamba + gloves inabidi sasa uende navyo hospital. Ukiwa hujui kitu heri unyamaze na sio kutokwa mapovu.
 
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.

Kwa hiyo Unamaanisha CCM ndo wamempiga kwa kuwa kwao ni msaliti au? Sijaelewa CDM wamefikaje hapa kwenye mgomo wa madaktari
 
Mtembea bure sio mkaa bure...ni heri mama Bisimba ameyasema haya, kuliko wale wanaomlaumu bila kutoa suluhisho!

Kwa mtazamo wangu, yeyote aliyefanya haya hasa kama ni state agency; basi itakuwa ni poor timing kwa sababu kwa mtazamo wa kimazingira; huo ni mkono wa Serikali...

Sasa kama ni Serikali; kwa nini mmefanya hivyo? hamuoni kuwa ni sawa na kuweka chumvi kwenye kidonda? Hamuoni kuwa ni sawa na kuwachochea madaktari kufanya mgomo zaidi? EEh Mungu uwawekee mkono wako wagonjwa wote wanaoathirika na mgomo wa madaktari kwa sababu ya upumbavu wa Serikali hasa katika kipindi hiki; wapate kupona!!!
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

With a name like "Maundumula" you can't help it!
 
human rights my ass..............my black f u c ki n a s s...........................
 
Back
Top Bottom