Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

Apr 2, 2012
73
59
Ulimboka.jpg
 
Mkuu naomba uiweke hiyo doc katika format ambayo ni rahisi ku-download ili iwe rahisi tunaotumia simu tuweze kuisoma
 
Watakuwa wanawaza kuwateka/kuwashughulikia akina Helen Kijo-Bisimba na Onesmo Olengurumwa na kuwatekeleza Mabwepande!
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
 
Ingekuwa vema kama hawa wanaharakati wangetoa hii taarifa kwa lugha zote mbili: Kiswahili na Kiingereza.
 
Record ziwekwe vizuri, ili JK atakapotoka madarakani tuweze kumtia kitanzi kirahisi... JK ajiandae kuwa mate wa Babu seya pale gereza la Ukonga....
 
Ujinga mtupu, sasa hapa kaongea nini? I thought she is calling for a mass movement against this barbaric deeds by the government! Yeye anatoa kauli ya kulaani? Tena anailaani serikali ya viziwi hii isiyo na hata tone la aibu? Huyu Bisimba naye anazeeka vibaya. Amenichefua tu hapa, sijaona la maana!

Hivi unaweza kusimama mbele za watu na kuanza kulaani matendo ya kichaa? Si utaonekana na wewe ni kichaa tu? Kama kichaa analeta kero mtaani kwenu chukueni hatua za ama kuchangishana hela mmpeleke milembe au mmhamishe mtaani kwenu.

Sasa Bisimba anapolaani vitendo vya serikali ya vichaa hii si anaonekana yeye ndiyo kichaa? Imeshalaaniwa na wangapi na kwa mangapi na hakuna chochote ilichorekebisha zaidi ya ubabaishaji usiokoma? To hell with vyama vya wanaharakati visivyo na meno hivi!

Ningekuwa mimi saa hizi ningekuwa naitisha countrywide demonstration against this brutal act bila kujali ni nani amefanya hilo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa watu wake na kama imeshindwa iachie ngazi. Period! Sasa analeta longolongo, ashakuwa mwanasiasa?
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

Ndio maana wametumia neno alleged au haitoshi kwako? what if ikiwa ni kweli?
 
Kama umeshindwa kuitisha hayo maandamano sasa hivi hata ungekuwa kwenye chama gani cha wanaharakati usingeitisha maandamano. Mtu uliyejificha nyuma ya monitor hauwezi ukatoa uchafu kama huo kwa huyu mama jasiri...!
 
Attached doc
 
Attachments

  • press-statement-on-abuse-of-rights-Dr-Ulimboka-27-june-final.pdf
    70.2 KB · Views: 370
Dr.Bisimba,this abuse and harrasement it is normal to our country,WHERE are Gilman Rutihinda,Horace Kolimba,Kombe,Malima etc,but this remind me about the death of the late John Rutaisingwa-JAMHURI YA UKENGE
 
acha ujinga wewe ..haki za binadamu unazijua wewe..mlikuwa wapi wakati ndugu zetu wanakufa kutokana na mgomo wa madaktari???leo ndo mnazijua haki za binadamu??... Muungane na nani??kusanyeni familia zenu ili muungane muundamane.. Tumewachoka ninyi na hao madaktari wenu.. Huyo olimboka ndo kaona kifo kikoje... Waauaji wakubw aninyi dr's mnaeka ela mbele .madai ya msingi yametkelezwa lakini bado tu na nia yenu ya kisiasa.
 
Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?
Mkuu mbona unashituka inakugusa nini, wamesema Most likely state agents, so why don't these state agents exonerate themselves from this issue???
Do they really need assistance or otherwise???

Wamekosea hapo kusema "Most likely alleged to be state agents" wangeacha blank kama hapo mwanzo waliposema "Unknown group of individuals" , kwa kutumia maneno haya inaonesha wao wanakuwa driven na emotions zaidi kuliko weledi! Pathetic!

Je ikibainika huko mbele kwamba wana ugomvi wa kugombea shamba la urithi Dr Ulimboka na ndugu zake?

Mkuu nchi yetu haina siri siku hizi. Hawa wanaharakati wanakuwa na mitandao ya uhakika na system ya nchi. ukiona wanasema hivyo ujue wanawajua wahusika ila itifaki hairuhusu kuwataja.
Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
 
Back
Top Bottom