Hukumu ya kesi ya mh zaituni vs nsanzugwanko ni leo

Mama Zaituni alikosea kumwita Danyeli Nsazugwanko Mchawi ... Angemwita Kihiyo.Huyo Jamaa alijisheheni na cheti cha ualimu daraja la tatu... alipokwenda Australia akajivika koti la graduation la mkewe ikisha akachonga vyeti vya bandia eti ni stashihada ya uchumi...! Nasikia hukumu hii leo ilipotolewa aliacha gari lake na kukimbilia nyumba jirani kujihifadhi na mayowe na mazomeo yaliyopazwa na umma wa wana kasulu.... Mwisho wa uzabizabina wake ni hii leo... katika uchAguzi wa 2005 eti alikuwa katika mtandao wa mzee malecela .. alipoona nambari zinamkanganya akawa ni kachero wa akina Rostam na wana mtandao wenzake kuuza uwongo...kwa ahadi aliyopewa akapata uwaziri mdogo wa vijana.. alipomtoga jenerali ulimwengu kwa kumbeza..siri ya ukihiyo ikawafikia walio wakimfikiria kuwa yeye ana degree ya economics ya masters kutoka Australia ! Sasa wana jamii fatilieni hii ishu kama mimi nasema uwongo...

nafikiri nsanzu ana matatizo.kesi ilikuwa inasomwa 30 dk kabla ya final judgement akakimbia.wakati kesi inaendelea mahakaman aliwai kubishana na advocate projectus rweyongeza.nakumbuka alimuita kidampa. Kwenye chama chake si katibu,mwenyekti wala mwenez waliokuwepo kumtolea ushaid au kumpa nguvu
 
Back
Top Bottom