Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

I would suggest and i pray that Mnyika win this case because of the following reasons:


  1. Hata akivuliwa ubunge bado Chadema watashinda, kwa nini tupoteze hela za walipa kodi kwenye uchaguzi ambao matokeo yake tunayajua?
  2. Mahakama zetu zimefanya madudu kwenye kesi ya Arusha na Segerea, je na Ubungo pia
  3. Kama Mnyika atapigwa chini ataungana na Lema kwenye M4C, kwa hiyo CCM mtakuwa mmejizika wenyewe.
Someni alama za nyakati.
NIMEFURAHISHWA SANA NA HII HATA WASEME MNYIKA HARUHUSIWI KUGOMBEA UBUNGO MAGAMBA HAWATA
CHOMOKA , HAPA UBUNGO WENYEJI WAMEENDA SHULE 95% NA 100% YA WANAO HAMIA NI WASOMI JE NISOMI GAN ANAE PIGIA KURA MAGAMBA? (mkuu by the way M4C ndo nini Thanks)
 
huyu mleta maada anapaswa kupewa banned hadi baada ya hukumu hii kutolewa.hapaswi kuvumiliwa kwa upotoshaji huu wa wazi na wenye kukera


watu kadhaa walimletea mwanamke wakisema "bwana tuamuru tu mpge mawe mwanamke huyu!"
Naye akainamisha kichwa chin akasema
"anayejiona yeye hana dhambi na awe wa kwanza kumpiga mawe" kimya kunyanyua uso tu hakuna hata mmja alibaki!
Sasa msamehen tu ajui alitendalo!
 
Wadau vip? Kuna mmoja wa mwana jamvi kairusha toka asbh kuwa yupo mahakamani au alikuwa kutandani
 
Nilisikia computer ya mnyika ilitumika kwenye majumuisho, sasa tume ya uchaguzi nao kweli wanaishiwa na computer si aibu!
 
watu wengine bana, mtu unaweka post na kuahidi kutoa updates, hatimaye unaishia mitini, au ndio kutaka kuzitafta 'Likes'??
wacheni bujinga ninyi, mshakua wazima sio?
manake wengine sijui mnashtuka tu pale saa 05:45 kabla free internet ya airtel haijaisha nakushindwa kurejea kutoa up dates??
kama vipi si u crack hyo modem???????

haya sasa walio mahakamani au wenye updates watujuze kesi ya Mh.Mnyika vile inaendelea...
 
...kwa hiyo nini kinaendelea sasa kuhusu kesi ya Mnyika? Mbona hatuelewi? Tupeni taarifa iliyokamilika mlio karibu na sources za mahakamani. Nasikia leo ndio mwisho wa kesi zote ni kweli?
 
Nilisikia computer ya mnyika ilitumika kwenye majumuisho, sasa tume ya uchaguzi nao kweli wanaishiwa na computer si aibu!
Hapana suala liko hivi computer za Mnyika zilitumika kwenye chumba cha majumuisho ili wao kama chama wahakiki kuona kama kura zake zimejumlishwa vizuri ili kujiridhisha kabla ya kusaini matokeo na jambo hili linaruhusiwa. Kinachokatazwa ni kama computer za Mnyika zingetumiwa na maofisa wa tume katika kutally (kujumuisha) matokeo ya wagombea wote. Kwa hiyo, hoja hiyo haina mashiko yoyote ni magamba wanatapatapa kama kawaida yao
 
Back
Top Bottom