Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

Haswaa...na bado yupo ameonekana misitu ya meru akiranda randa wapi waziri wa maliasili na utalii, mh maige awjibishwe kwa ...
mmmhhhhhh................... huyu si yule jamaa aliyekuwa anampigia Kampeni SIOI kule Arumeru?
 
Dr-Wilbroad-Slaa.jpg




In his statement, Dr. Slaa has also urged President Jakaya Kikwete to maintain seriousness!
 
jk ameogopa kufunukwa na kesi ya mnyika.hivyo anataka yeye ndio amiliki vyombo vya habari kwa kutangaza baraza la mawaziri.
 
Leo ni submission ya mawakili wa pande zote, ambapo Jaji atachekecha ushahidi wa pande hizo kati ya makapi na pumba ili apange tarehe ya hukumu.

Nawasilisha more news to come then
 
Ndugu,

Wewe wasema kweli maana tulishaingizwa chaka hapa JF kwamba leo ni hukumu. Nilijiuliza mara nyingi final submission imefanyika lini? By the way Mora atajalia jembe litaendelea kupalilia bungeni. Maombi yeni jamani
 
Ndugu,

Wewe wasema kweli maana tulishaingizwa chaka hapa JF kwamba leo ni hukumu. Nilijiuliza mara nyingi final submission imefanyika lini? By the way Mora atajalia jembe litaendelea kupalilia bungeni. Maombi yeni jamani

Alituingiza chaka apigwe Ban kwa kuleta uongo hapa JF
 
Kimbunga leo ni submission ya mawakili wa pande zote, ambapo Jaji atachekecha ushahidi wa pande hizo kati ya makapi na pumba ili apange tarehe ya hukumu.

Sasa mkuu Matola tumfanyeje mtu huyu aliyetudanganya watu wa humu JF? Asulubiwe, asulubiwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom