quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 390
- 164
Wanajamvi naomba mwenye taarifa kuhusu kesi ya Chenge aniarifu
Sheria inayohusu kosa la kuendesha gari na kumgonga mtu na kufa ni kosa linalohusu makosa ya barabarani au traffic case. Sheria zilizopo kwa kesi za traffic ni za kichekesho saana, unaambiwa adhabu yake kwa kosa la kugonga mtu na kuua haizidi faini ya shilingi laki moja au kwenda jela miaka miwili. Chenge kutozwa faini ya laki saba bado inaonesha kama hakimu kamkomoa vile. Kwa sheria kama zilivyo kwenye vitabu adhabu ni ndogo saaana. Ndio maana madereva wetu wa daladala hawajali saana kufanya makosa hata kugonga watu na kuwaua, sababu adhabu zake nyingi ni za faini na ukikosa faini ndio unafungwa. Unless kama sheria ingebadilika na adhabu kuwa ya kifungo tu bila faini labda mauaji ya kugongwa na magari barabarani yangepungua. So kwa Chenge kulipa faini tusimlaumu hakimu na wala hakuna mchezo mchafu wowote hapo bali ni sheria zetu ziko weak saana kwa makosa ya barabarani.Bongo kuna wengine sheria haiwabani, lkn sheria inasemaje kwa dereva anayesababisha kifo kwa kumgonga mtu ? Naomba ufafanuzi kwa wanaojua sheria.
Hapo ndiyo utaona umuhimu wa kubadilisha sheria zetu!!Ametozwa faini ya laki saba na ametoa papo hapo!!!! Hivyo yuko huru kuua tena na kuendesha gari bila insurance. Shame on Tzs laws/procedures.
... hiyo imekaa zaidi ki imani kuliko kisheria. Kisheria Chenge anahatia na kapigwa faini na kwa kuwa anajua fika sheria ilivyo akajiandaa kabisa na pesa ya kulipa, maana kama asingekuwa na pesa ya kulipa angepelekwa jela. Hivyo hata yeyote mwingine ikitokea una kesi na leo ndio siku ya hukumu basi jiandae hasa kipesa ya kutosha ili ukiambiwa ulipe faini basi hapohapo unalipa, maana ukichelewa tu kulipa kaka/dada unapelekwa lupango!!!Damu ya mtu haipotei hivi hivi.
Damu ya hao marehemu itamhukumu Chenge!
... hiyo imekaa zaidi ki imani kuliko kisheria. Kisheria Chenge anahatia na kapigwa faini na kwa kuwa anajua fika sheria ilivyo akajiandaa kabisa na pesa ya kulipa, maana kama asingekuwa na pesa ya kulipa angepelekwa jela. Hivyo hata yeyote mwingine ikitokea una kesi na leo ndio siku ya hukumu basi jiandae hasa kipesa ya kutosha ili ukiambiwa ulipe faini basi hapohapo unalipa, maana ukichelewa tu kulipa kaka/dada unapelekwa lupango!!!
Damu ya mtu haipotei hivi hivi.
Damu ya hao marehemu itamhukumu Chenge!
Wanajamvi naomba mwenye taarifa kuhusu kesi ya Chenge aniarifu
Cheguevarra said:But we have not talked about driving vehicle without insurance. Was he convicted as well, because I can see only convicted with reckless driving and causing death! Vipi suala la bima ni hiyohiyo laki 7!! Lazima to review sheria zetu
Sheria inayohusu kosa la kuendesha gari na kumgonga mtu na kufa ni kosa linalohusu makosa ya barabarani au traffic case. Sheria zilizopo kwa kesi za traffic ni za kichekesho saana, unaambiwa adhabu yake kwa kosa la kugonga mtu na kuua haizidi faini ya shilingi laki moja au kwenda jela miaka miwili. Chenge kutozwa faini ya laki saba bado inaonesha kama hakimu kamkomoa vile. Kwa sheria kama zilivyo kwenye vitabu adhabu ni ndogo saaana. Ndio maana madereva wetu wa daladala hawajali saana kufanya makosa hata kugonga watu na kuwaua, sababu adhabu zake nyingi ni za faini na ukikosa faini ndio unafungwa. Unless kama sheria ingebadilika na adhabu kuwa ya kifungo tu bila faini labda mauaji ya kugongwa na magari barabarani yangepungua. So kwa Chenge kulipa faini tusimlaumu hakimu na wala hakuna mchezo mchafu wowote hapo bali ni sheria zetu ziko weak saana kwa makosa ya barabarani.