Mahakama Kuchelewa/Kushindwa Kufanya Utekelezaji Wa Hukumu, Natakiwa Nifanye Nini?

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,819
Kwema Wakuu?

Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam.

Bwana yule alikiri kudaiwa na mimi na akahidi kua atakua analipa kidogo kidogo na pesa atakua anakuja kuzilipia mahakamani, nazipokelea hapo tunasainishana. Hii ilikua mwaka 2018 kesi ilipoisha.

Sasa baada ya kulipa mara moja tu hakutokea tena. Nikimpigia simu anazungusha tu, anatoa ahadi ambazo hatekelezi. Niliandika barua mahakamani kuelezea hali ile nikaomba kukazia Hukumu lakini hakuna lililofanyika.

Nikaandika barua ya pili kukumbushia kuhusu barua ya kwanza ya kukazia hukumu lakini kimya. Katika barua zote nilieleza kua niko tayari kutoa ushirikiano kuonyesha mahali mali za mdaiwa wangu zilipo lakini mahakama imekaa kimya.

Barua zote mbili nilikua natoa nakala kisha nabaki na "copy" ambayo imegongwa muhuri wa mahakama kua wamepokea "original" yake.

Nachoomba kufahamu katika hali kama hii natakiwa kufanyaje wakuu? Mdaiwa bado anazungusha lakini mali zake zipo, tena hazizidi kilometer moja kutokea hapo mahakamani.
 
Hiyo amount ni Kesi inastahili kusikilizwa na Primary court?
 
Fatisha hukumu inavyoelekeza!!
 
Tafuta Wakili
 
Pole sana, hadi hapo huwezi pata msaada kutoka katika hiyo mahakama ambayo nina uhakika ni primary court, kama hakimu ni yule yule nenda kwa boss wake ambae ni hakimu wa mkoa, ukiona anakuzungusha panda ngazi ya juu ambayo ni kwa msajili..kisha rudi hapa kutoa mrejesho
 
Hivi why hizi Primary courts hazipendi kutoa majibu kwa haraka hadi uzipandie kwa Msajili ndiyo zinatoa majibu faster!? Shida ni nini!! Kuna siku nilimpelekea mdaiwa wangu wito kutoka Mahakama ya Mwanzo, Mwanasheria wake alivyosomewa tu kwa simu, akamwambia mteja.wake pokea na sign hiyo ni Kangaroo court! Bado sijamuelewa why.alisema hivyo! Mwenye kujua maana pls anipe maana!!
 
Pole sana, hadi hapo huwezi pata msaada kutoka katika hiyo mahakama ambayo nina uhakika ni primary court, kama hakimu ni yule yule nenda kwa boss wake ambae ni hakimu wa mkoa, ukiona anakuzungusha panda ngazi ya juu ambayo ni kwa msajili..kisha rudi hapa kutoa mrejesho
Hello Mkuu,
Huyo Hakimu wa Mkoa anakua kwenye Mahakama hiyo hiyo? Au ni tofauti na hapo?
 
Back
Top Bottom