HUKU JK akiuza sura, Kibaki kujenga reli mpya Nairobi na bandari Lamu!

Sasa hapo ni ukosefu wa shukrani kwa serikali yetu,kwani hio reli inagusa maslai ya watu wengi kuliko chuo kikuu kinachochukua watu elfu alobaini?ukelini kuwa kweli nchi yetu ni masikini tena sana na wananchi wana haki ya kulalamika...lakini umasikini huu haujaletwa na serikali yetu bali ni tatizo la kihistoria...wakoloni hawakuijenga nchi yetu kama walivyofanya kwa kenya na uganda..matokeo yake ni kuwa wakati tunapata uhuru Tanganyika ilikuwa kati ya nchi kumi na sita ambazo ni masikini zaidi duniani,kwa sasa kungi hili limeonezeka na nchi pekee ilioweza kujikomboa hapa ni Botswana tu.matokeo ya uchumi mbovu uloachiwa na wakoloni ni pamoja na kukosa moyo wa kujituma.Watz tuko wavivu by nature,tukifanya kazi kidogotu tunataka ujira mkubwa.ukienda hotelini ukamkuta waitre wa kikenya ni tofauti na wa kitz.wasomi wetu wanadahani serikali ndio ina wajibu wakuwakwamua,hawataki kwenda kufanya kazi vijijini kwa madai maisha mabaya,lakini kwenye maisha yko kwa nini ushindwe kijitolea ata miaka mitano tu kufanya kazi kwa ajiri ya watanzania wenzako....tunazaliana kama ndege kuliko uwezo wa serikali kumudu.nchi kama namibia na botswana zani watu pungufu ya miilioni tano.sie tuko wangapi...watanzania wote hatuwajibiki kwa wastani.
Unayosema ni ya kweli kabisa.
 
Ulimi wako unaongea na utashi wa kigeni! umejivua wajibu na kubaki na ubabe wa ukandamizaji. Mimi si mtumwa wako wala mjakazi wako - nilime, nitoe jasho bila faida toka tupate uhuru hadi leo. Ndio tunahistoria, lakini historia ya mwaka 1961 ilikuwa ni kufuta unyonyaji ambao leo unaupigia kifua. eti tumejenga reli, thubutu! ya kupandisha nini! kwa lengo la nani? mimi mzalendo!

Leo, bila soni unaita mvivu - nakulimia wewe ije masika na kiangazi masoko yako yamejaa vyakula. Mimi natimiza wajibu wangu, natoa jasho langu wapaswa kuniongoza katika uzalishaji! Eti niko mvivu kwenye hoteli, ni utamaduni mgeni kwangu wa watu wachache walio nacho ndio hula hotelini. Mbona unajisahau! usifanye utamaduni wa wachache ndio uwe wangu! Mbona kuli halalamiki kwamba waiter ni mbovu! ni fikira za mgando zakufananisha zinazotusumbua.

Ng'o heshima sikupi kwa kuwaita watu wetu wavivu, kamwe sikubaliani na wewe tunazaliana kama ndege. Niondolee hizi firikira ngeni ambazo zinataka kukandamiza nafsi. Mimi ni mtanzania, nafanya kazi, nalima, nazaa watoto hata pasipo na hospitali, nafagia, ni karani, ni mfanyakazi wa ndani, ni mwalimu - hata unaponipa pato la chini. Nazaa watoto wangu, serikali haijawahi kuwalisha, hata idadi yake huu ijuu, leo unalalamika tuko wengi, nani kakwambia! Unachojua ni kunifukuza shule sijalipa ada na kunibandika majina ya utoto wa mtaa.

Wacha kejeli kaka! Inauma sana unajua
 
Quote:

Sasa hapo ni ukosefu wa shukrani kwa serikali yetu,kwani hio reli inagusa maslai ya watu wengi kuliko chuo kikuu kinachochukua watu elfu alobaini?ukelini kuwa kweli nchi yetu ni masikini tena sana na wananchi wana haki ya kulalamika...lakini umasikini huu haujaletwa na serikali yetu bali ni tatizo la kihistoria...wakoloni hawakuijenga nchi yetu kama walivyofanya kwa kenya na uganda..matokeo yake ni kuwa wakati tunapata uhuru Tanganyika ilikuwa kati ya nchi kumi na sita ambazo ni masikini zaidi duniani,kwa sasa kungi hili limeonezeka na nchi pekee ilioweza kujikomboa hapa ni Botswana tu.matokeo ya uchumi mbovu uloachiwa na wakoloni ni pamoja na kukosa moyo wa kujituma.Watz tuko wavivu by nature,tukifanya kazi kidogotu tunataka ujira mkubwa.ukienda hotelini ukamkuta waitre wa kikenya ni tofauti na wa kitz.wasomi wetu wanadahani serikali ndio ina wajibu wakuwakwamua,hawataki kwenda kufanya kazi vijijini kwa madai maisha mabaya,lakini kwenye maisha yko kwa nini ushindwe kijitolea ata miaka mitano tu kufanya kazi kwa ajiri ya watanzania wenzako....tunazaliana kama ndege kuliko uwezo wa serikali kumudu.nchi kama namibia na botswana zani watu pungufu ya miilioni tano.sie tuko wangapi...watanzania wote hatuwajibiki kwa wastani.

Bwana Nchimbi,

Hatuna haja ya kuishukuru serikali kwa kutoa huduma na maendeleo kwa jamii maana ndio wajibu wake. Vyuo vikuu mbona viko vingi tu nchini ambavyo wasomi wake wanatumia muda mwingi zaidi nyumbani kuliko madarasani? Kama swala ni hayo majengo, yeyote anaweza kujenga, kama hujui, kuna vyuo vikuu binafsi kibao tu nchini. Kama ambavyo kuna mashule mengi tu ya serikali nchini yenye wanafunzi bila walimu na vitabu, hicho chuo cha dodoma hakitatusaidia sana kama wanafunzi hawana uwezo wa kupata huduma zinazostahili. Besides, rais kweli asimame atuambie umma kwamba tulimweka madarakani miaka 5 kutujengea chuo kikuu dodoma tu? Hebu jifikirie kaka.

Tanzania kama nchi nyingine za Afrika ilitawaliwa na wakoloni, na leo hii tunajitawala wenyewe. Unataka kutuambia heri tungebaki na wakoloni? Labda ndio maana serikali imeamua kutawala kikoloni - kumbuka wakoloni hawakuwa na interest ya kuwakwamua watanzania na umaskini, bali kuwanyonya, kuwatumikisha na kuhamisha raslimali kwenda nchini kwao kwa manufaa yao binafsi. Kilio chetu leo ni kwamba bado Kikwete na serikali yake wanaendeleza yale yale. Wanainyonya nchi hii, wanaiba, wanajilimbikizia mali kwa manufaa yao binafsi, watanzania wanazidi kudhoofika, duni siku hadi siku. Leo hii, mtanzania wa kawaida amekuwa ombaomba, hawezi kumsomesha mtoto kwenye shule ya private; nini hii? Mbona watu wanatokwa jasho kila siku kwa kazi nzito? Wamekosa nini? Mbona hawaneemeki?

Kama Botswana imeweza kujikwamua kimaendeleo, ni kwa nini Tz isifuate nyayo zao? Kwa nini tunafuata nyayo za failures?? Kama unavyosema wa Tz ni wavivu, nakubali baadhi yao ndio, ila sio wote. Nasikitika kwamba rais wetu ni mfano katika hilo - wa kwanza kwa uvivu. Ukikutana na rais wa Kenya ni tofauti sana na wa Tz sawa tu na huyo hotelia wa ki-Tz. Ishu ni kwamba tunahitaji rais mchapa kazi na tuanzie hapo kwenda chini; hawa mahotelia na wengine ikibidi tutawachapa viboko waamke, kitu ambacho hatuwezi kufanya kwa rais.

Kuhusu swala la population growth - there has to be a lead. Kama unaona watu wako wanazaliana bila plani unakaaje kimya na unajua madhara yake baadaye? Nchi kama China wamelazimika kuweka policies za kulimit growth - you should know this. Siamini kama tuna growth ya kutisha kiasi hicho lakini kama ipo inahitaji mwongozo kutoka juu. Au unataka kuniambia ni kitu kisichowezekana?? serikali haina watendaji? Mawizara kazi zake nini??

Watanzania wako tayari sana kujitolea, infact sehemu kubwa ya watu wetu tunajitoa sana. Walimu, madaktari, maafisa pori, misitu etc. wote hawa wako huko vijijini na elimu zao kwa ujira kidogo kupita kiasi. Sijui una maana gani kusema wanadai malipo makubwa. Unawazungumzia wabunge na mawaziri au? Hawa watu wananyonywa kama nini. Mishahara yao inapunjwa ili mafisadi wazifanyie wanachotaka. Bila aibu mtu anathubutu kusema hii nchi yetu ni maskini! Umaskini tunaletewa na hawa wezi, wala rushwa walioko madarakani. Tunahitaji Kikwete aidha afanye kazi tuliyomtuma (ambayo bado hajaianza) au aondoke atuachie nchi yetu tumweke mwingine awezaye kututumikia.

Msitufanye watoto kutuambia 'eti hii ni kweli kabisa' kwenye michango ya kipuuzi kama hii. Tumefika mahali tusiogopane na kupeana sifa za kinafiki. We Nchimbi kama unaona nchi iko na mwelekeo sawa ni kwa sababu we ni mmoja wa wakoloni wanaoinyonya nchi hii; otherwise amka tusaidiane kujikomboa.
 
Hapa naona kila mtu anajaribu kuomyesha namna jk na serikali yetu tukufu inavyoshindwa kutekeleza majukumu yake jambo ambalo si la kweli ata kidogo.Utendaji wa serikali ya JK hauwezi kupimwa kwa vile Kibaki kajenga reli basi na sisi tujenge reli....ni ujinga kwa kweli.Kwa faida ya wasomaji wa hapa pengine niseme machache sana yaliofanywa na serikali ya Jk ili watu wote tuweze kuyapima.....kwanza ni ujenzi na upanuzi wa chuo kikuu cha dodoma....wanafunzi elfu alobaini wataingia hapo.....pili ni walter sector program inayotekelezwa kwa sasa ambapo kila mji utanufaika kwa maji safi kwa kiwango cha asilimia 94....kwa sasa tayari kigoma wameenza utekelezaji wa kuvuta maji toka mto malagalasina kusambazwa kigoma...wakazi wa maeeneo ya dar wanaona ujenzi wa mabomba mapya ya maji hususani maeneo ya tabata nimeshuhudia mwenyewe...ujenzi wa vyumba vya madarasa tayari kwawanafunzi wapya kuingia umefanyika nchi nzima...nani aliwapofusha mpaka yote haya hamuyaoni?

Watanzania unaweza kufikiria kuwa mchawi aliyetuloga ...amekufa na kuzama katikati ya bahari kwa kuliwa na papa au nyangumi ...hatuwezi kupata hata maiti yake tukatambike au kuomba tuondoe hii kadhia...

HIYO MIRADI ULIYOSEMA YA MAJI NA UJENZI WA MADARASA ...NI MIRADI YA MEM NA MEMS....ILIANZIA MEM ..TUKAJENGA MADARASA YA PRIMARY NA KUFANYA ENROLMENT MATOKEO WALE VIJANA WALIOINGIA KWA WINGI PRIMARY INTAKE YA KWANZA WALIMALIZA PRIMARY MWAKA JUZI......NA ILIBUNIWA KUWA WAKIMALIZA TU WAKUTE MADARASA YA SEKONDARI...ONGEZEKO LILIKUWA KUBWA.....HUU SI MRADI WA AWAMU YA NNE...

MRADI PEKEE UNAOWEZA KUSEMA NI WA KILAZA JK NI CHUO KIKUU CHA DODOMA....TUNAMSIFU HAPO!!...LAKINI TUNATOA ANGALIZO KUWA ASIKISAHAU CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ..JUST KWA SABABU WANAFUNZI WA PALE NI WAPINZANI WAKE SANA !!....MAAANA SASA INAONEKANA KAMA UD WANAACHWA YATIMA!!

MAENDELEO NI JUKUMU NA KAZI YETU SOTE ..KAMA KULA ..MTU HASIFIWI KWA KULA..ILA KAMA HAWEZI KULA TUNAAONA KAMA NI MGONJWA!!...

TUJILINGANISHE NA MAREKANI !!!!???...TUNAJILINGANISHA NA MAJIRANI ZETU ..KENYA ,UGANDA,ZAMBIA ETC
 
...IDADI YETU KUBWA WATANZANIA INATAKIWA KUWA BARAKA NA SIO LAANA...INAMAANISHA ..SOKO KUBWA LA BIDHAA ZETU [ZA NDANI],MANPOWER KUBWA....PRODUCTIVITY...etc we can use our population as a power!!!
 
"MRADI PEKEE UNAOWEZA KUSEMA NI WA KILAZA JK NI CHUO KIKUU CHA DODOMA....TUNAMSIFU HAPO!!"

Jambo la maana sana alifanya.
 
wewe mbona una wasi wasi?
sisi tuna mradi wa reli kwenda RWANDA itajengwa karibuni...

tuna mradi wa kujenga INTERNATIONAL airport kule BAGAMOYO itajengwa karibuni

tuna mradi wa refinery mpya itajengwa KARIBUNI

Tuna mradi wa bomba la mafuta toka TANGA-RWANDA-BURUNDI..itajengwa karibuni inshaalah

Tuna mradi wa kuvuna MVUA toka THAILAND inshaalah nayo itafanikiwa tuu

Tuna mradi wa MJI MPYA kule mbele sijui kunaitwaje..wasomali tayari wako site

Tuna mradi wa kujenga bandari BRAND NEW kule Bagamoyo itafanikiwa tuu ni uhai tuu mkulu

mwisho zaidi tuna mradi wa kuziba ule mtaro mbele ya HAIDERY PLAZA ambao unatoa harufu na maji machafu tangu mwaka jana ...isipokuwa taarifa ni kuwa meya wa ILALA na KIMBISA bado wanafanya feasibility study kujua lile shimo litazibwaje

at least for once you should be grateful kuwa nia TUNAYO,UWEZO TUNAO isipokuwa hatujajaaliwa tuu

Duh! Hii kali! KIla kitu uamuzi utatolewa hivi karibuni. mkulu ni mwanajeshi mstaafu pia. Sifa moja kubwa ya maofisa wa jeshi toka enzi za Julius Caesar, Napoleone, Douglas Mac Arthur na wengine wengi ni uwezo wa kusukuma na kukamilisha agenda zao.Hili sidhani kama lipo ktk mtazamo wake, mana naamini mengi angeshakuwa ameyakamilisha yakaonekana badala ya story kila kukicha.
 
JK ni kilaza namba wani. Eti treni ya umeme itajengwa na Wahindi. Mwakani tukapige kura hata mvua ikinyesha. Bora kuchagua chizi kuliko CCM. JK na CCM ndio maadui wetu wa maendeleo. Hii sasa ni AMRI.
 
Hivi watz tutaendelea kuilaumu historia kwa umasikini wetu mpaka lini, ukoloni umeondoka miaka mingapi maendeleo hayaonekani zaidi zaidi ni kurudi nyuma hata walichoacha wakoloni tumeshingwa kukiendeleza, hata tulichopewa bure tumeshindwa kukiendeleza kama tazara.

Mimi nasema hivi, historia haikuchangia kiasi cha kutukosesa maendeleo mpaka leo. mkuu Nchimbi naomba unijibu hapa

  1. Je pesa za EPA zingetumika kujenga madarasa ya sekondari mangapi? Hii ingepunguza umasikini kwa kiasi gani kwa kama madarasa yangetumika kuelimisha watoto wa kitanzania?
  2. Je pesa za Twin tower kama zingetumika kujenga zanahanati vijijini ingesaidia kiasi gani kupunguza umasikini kwa watz walala hoi?

Tusingizie historia hata kama ilichangia lakini ilitakiwa atleast sasa tuonyeshe kuwa tunajitawala lakini bado tunawaita na kuwauzia kila kitu kuanzia mashirika ya umma mpaka migodi kwa bei ya kutupa kwa kuwa tumeshachukua rushwa.

Tusitafute mchawi mchawi ni sisi wenyewe na viongozi wasiwajibika, pamoja na serikali ya JK kufanya vitu vingi lakini mimi sijaona kwani kuna watu vijijini watu wanaendelea kunyanyaswa na makatibu kata kwa michango ya sh. 10,000 wanalala misituni na wanapigwa na mgambo wakati serikali inashindwa kuwapeleka mahakamani wezi wa pesa za umma, usiseme wamepelekwa kwani waliopelekwa ni dagaa tu wakubwa wapo mjini wanatamba kuwa hawawezi kuguswa.

Nchi inahitaji mabadiliko kwa wakati huu, CCM imeshindwa kabisa kuderiver watu walichotegemea kwa miaka zaidi ya 44 halafu unategemea itaweza kufanya miujiza, haiwezekani.

Serikali ya CCM haiendeshi kwa masirahi ya taifa bali kwa masirahi ya watu wachache na ndio maana ukionekana wewe unatishia amani ya CCM wanakufunga mdomo kwa njia yeyote hile, tunahitaji uwajibikaji ndani ya serikali bila kuoneana huruma.

Pamoja na kuwa vyama vya upinzani na vyenyewe havijajiandaa kuongoza nchi lakini sasa wakati umefika wa kufanya mabadiliko ambayo sijali yanatokea wapi kama ni CCM wabadilike na kuwa viongozi wazuri au waondolewe madarakani na kuingia chama kingine???????

tusipende kukwepa wajibu wetu na ndio maana kila kitu tunatafuta visingizio ooh! wakoloni ooh! nini no sisi ndio chanzo cha umasikini wetu, tunahitaji kubadilika na kufanya mabadiliko katika mfumo wa uongozi wetu badala ya kuangalia masirahi ya chama sasa tunatakiwa kuangalia masirahi ya taifa na kuwawajibisha wote wenye makosa bila kujali kuaribu chama.

kama kawaida gharama ya madadiliko ni kubwa sana, lakini kama tunataka madadilko ya manufaa kwa nchi yetu lazima tufanye mabadilko na wakati wenyewe ni sasa kama ni kuibadili CCM yenyewe au kuondoa madarakani na kuwaweka wengine wanaojari masirahi ya taifa???????
 
nchimbi ..who ever is ..ameonesha umakengeza..na the way alivyo present hoja yake utafikiri anahutubia kundi la wanakijiji ,ambao huo ndio crap gabbage ambayo wamekuwa wakiwalisha waamini kila siku .....

guys kina nchimbi ....watanzani wameshaamka wale mliofikiri ni mazoba ...mwakani mtapigwa mawe sana na wanakijiji kama wa kange ,mbeya!!!!

mjerumani alijenga reli mtandao hadi mtwara [mliyongoa] mwaka 1902-1907........sisi tangu mwaka 1961 hadi leo tumeweza kukarabati kipande cha manyoni tu...tena baada ya kuwazulumu wakazi wa mtwara reli yao......

LEO HII WANAUME WAZIMA NA BALLS MNASIMAMA KUJISIFU KWA JUST A SINGLE WORK KWA MIAKA 5....ETI TUMEJENGA CHUO KIKUU DODOMA...JUST THAT ..INATOSHA ??

SUBIRINI KUPIGWA VIBAO MWAKANI...NA SAFARI HII MTASINGIZIA SANA UKICHAA NA ULEVI ...,KAMA MLIPOSEMA WAKAZI WA KANGE WALIOMPIGA MAWE KIKWETE NI WALEVI.........!!!!....POMBE MNATUPA NYIE???
 
nchimbi ..who ever is ..ameonesha umakengeza..na the way alivyo present hoja yake utafikiri anahutubia kundi la wanakijiji ,ambao huo ndio ---- gabbage ambayo wamekuwa wakiwalisha waamini kila siku .....

guys kina nchimbi ....watanzani wameshaamka wale mliofikiri ni mazoba ...mwakani mtapigwa mawe sana na wanakijiji kama wa kange ,mbeya!!!!

mjerumani alijenga reli mtandao hadi mtwara [mliyongoa] mwaka 1902-1907........sisi tangu mwaka 1961 hadi leo tumeweza kukarabati kipande cha manyoni tu...tena baada ya kuwazulumu wakazi wa mtwara reli yao......

LEO HII WANAUME WAZIMA NA BALLS MNASIMAMA KUJISIFU KWA JUST A SINGLE WORK KWA MIAKA 5....ETI TUMEJENGA CHUO KIKUU DODOMA...JUST THAT ..INATOSHA ??

SUBIRINI KUPIGWA VIBAO MWAKANI...NA SAFARI HII MTASINGIZIA SANA UKICHAA NA ULEVI ...,KAMA MLIPOSEMA WAKAZI WA KANGE WALIOMPIGA MAWE KIKWETE NI WALEVI.........!!!!....POMBE MNATUPA NYIE???

Sisi tumekalia haya haya tuu. Vikao badala ya kusiginana ili kupata mawazo ya msingi ni viuno viuno tuu na kusifiana. Majitu mazima yamekalia kusifiana vikaoni na hakuna kinachokwenda mbele. Mie nawalaumu hao wanaoenda kwenye hivyo vikao vya chama maana hakuna seriousness yeyote,
ImageUploadedByJamiiForums1395121605.938799.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1395121649.468569.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Tartizo lipo pia kwetu sisi wenyewe tunaoongozwa hatujajitambua vyakutosha.Walioweza kujitambua walichukua hatua. Sisi tunalalamikasana. Binafsi ukinuliza watz/ Tz inaweza nini nitasema haiwezi lolote. Katikamichezo hatuko, siasa za kinafiki, sayansi tuko gizani, handcraft nimtihani. Kwenye uongozi mwendawazimanaafadhali. Tanzani tulipata uhuru kabla ya wakati.

Back
Top Bottom