Huja kijua Kingereza...bado.

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
Hichi ki sentensi kime nipa tabu sana, em wataalamu wa ngeli,yai arimaarufu English tuwekeni saw a hapa.

Ukitaka kusema kwa kiingereza hii sentensi uta isemaje?

" Baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa katika watoto wako"
 
daaah ni shidaaa hamna comment kama umepost one minute ago ngoja niformulate maneno kwanza naja
 
Peleka kwa Mkuu kama hajakufunga kwa hasira ilikhali ike tu ya Rasi simba ni hanyau BBC hanyau...atatamani akumeze kwanza Mkuu ujue hapendi hicho kitu.Acha utani na Mkuu wako
 
Hichi ki sentensi kime nipa tabu sana, em wataalamu wa ngeli,yai arimaarufu English tuwekeni saw a hapa.

Ukitaka kusema kwa kiingereza hii sentensi uta isemaje?

" Baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa katika watoto wako"
1-Daddy, what is my seniority in ur family?
2-Daddy,what is my ordinal position of birth?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom