Hp pavilion entertainment

Muntu

Member
Dec 22, 2011
32
5
Habari wadau! Naombeni msaada wa laptop yangu,kwani haiwaki kwa sasa.ni baada ya kuchomoka ghafla charger(adaptor),then nikichomeka adaptor kwenye laptop inawaka taa tu kwenye tundu la laptop unapochomeka adaptor,then ukiwasha haiwaki.msaada tafadhali.kwani nina documents za muhimu.thanks
 
Pole,sina jibu la tatizo lako, but nataka kukushauri, document za muhimu usiziweke mahali pamoja bila back up, nakushauri ufungue akaunti google docs, utapata GB nzima unapoweza kuhifadh data zako, again pole bt humu kuna matechnician hope watakusaidia
 
Ikiwa laptop haiwaki bila ya kuingiza adaptor, maana yake battery yako imekwisha kabisa, kwani kwa kawaida huna ulazima wa kuunganisha na adaptor ili iwake.

Niliwahi kuwa na tatizo kama hilo kwa laptop ambayo battery ilishakufa. Kwa kujaribu tu, niliitoa battery na kuiingiza tena baadaye nikaunganisha na adaptor na kuiwasha tena. Ilifanya kazi. Lakini haya si maelezo ya kitaalamu, nilijaribu na kufanikiwa.
 
kama hofu yako ni document basi shusha presha, document unaweza kuzitoa wewe mwenyewe au mtumie mtaalam yoyote aliye karibu nawe anaweza pia. kama unataka kutoa wewe mwenyewe basi fanya yafuatayo:-
(tatizo cjui una uelewa kiasi gani juu ya matumizi ya teknolojia hii)
pia hii ni njia kama una computer nyingine unayoweza kutumia
1. ifungue laptop yako sehemu ya hard disk
2. itoe hard disk
3.itambue hard disk yako kama ni SATA au IDE
4. kanunue adopter au external case inayoendana na HDD yako
5.iunganishe hiyo adopter au external case kwenye HDD YAKO
6.ichomeke hiyo adopter au external case uliyoiunganisha kwenye HDD kwenye computer nyingine inayowaka
7.ukishachomeka basi itasoma kama external HDD, ifungue kisha toa hizo data afu anza kutafuta suluhisho la tatizo lako
 
TO
THIRD EYE


brother vip kuhusu msaada wangu bado hujanisaidia,,,najua ni weng unawasaidia na uko tight na pepa naomba msaad wako ndugu
 
Muntu,
Jaribu kuchomeka adaptor, lakini bila betri, let see what happens.
adaptor ina taa? what happens ukichomeka hiyo adaptor kwenye pc, taa ya adaptor ina-reaction yoyote?
betri yako bila ac power iliuwa inakaa muda gani?
 
Last edited by a moderator:
Muntu,
Jaribu kuchomeka adaptor, lakini bila betri, let see what happens.
adaptor ina taa? what happens ukichomeka hiyo adaptor kwenye pc, taa ya adaptor ina-reaction yoyote?
betri yako bila ac power iliuwa inakaa muda gani?
habari wadau,
thank you kwa ushauri. betri ya lap top ilishakufa muda mrefu,natumiaga adaptor(kama Pc). kwa sasa haiwaki hata ukichomeka adaptor. na adaptor haina taa, taa ipo kwenye pc ambapo unapochomekea adaptor, then taa inawaka ila uki start pc ndo inagoma kuwaka.thanks wadau
 
Back
Top Bottom