Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,937
- 772
Wadau anayejua kutumia kifaa cha satelite finder naomba anijuze maana dish langu la dstv linageuka geuka kila nikiwaita mafundi wanakuja kulitwist kidogo tu wakitumia hicho kifaa wanakula 30,000 wanaondoka so inanicost sana wakati kifaa chenyewe nimeshakinunua 30,000 ila jinsi ya kukitumia bado sijafahamu,msaada tafadhali......