How to use satellite finder

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
772
Wadau anayejua kutumia kifaa cha satelite finder naomba anijuze maana dish langu la dstv linageuka geuka kila nikiwaita mafundi wanakuja kulitwist kidogo tu wakitumia hicho kifaa wanakula 30,000 wanaondoka so inanicost sana wakati kifaa chenyewe nimeshakinunua 30,000 ila jinsi ya kukitumia bado sijafahamu,msaada tafadhali......
 
Kina sehemu mbili za kukonecti waya je zimeandikwaje ? Jibu ili nikushauri
 
Waya moja unaingia kwenye lnb na mwingine unaenda kwenye decoder na nimeshaichomeka yote hattua inayofuata bado cjaijua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom