kwamba Mbunge wa arusha amemkashfu w/mkuu au laa, watanzania ndo tunajua. lolote watakalo amua ni mbinu za ccm hilo tunafahamu. ninani hasa aliyeua raia arusha sisi tulioumia kwa yale mauaji ndo tunajua nani anahusika.
Watanzania maamuzi yetu sahihi na yenye kuangalia baadaye ni ya muhimu, tuwe makini kwani shati, Tshirt, kofia na Khanga tayari zimechakaa.
hallow guys im new member in tha house just today my guy noel mushi inspired me to go through magufulis issue. nimeiona na nimeamua kuwa member so that kushare views mbalimbali kuhusu mustakabali wa taifa letu. ila kama kweli tunahitaji mabadiliko ya kweli inabidi tujifunge mkanda kwelikweli maana hata washikaji tulio watuma mjengoni naona mipasho tu kama mirindimo ya pwani. anyway expecting alot from u guys
Juzi nimepata mshituko mkubwa jk anatembelea soko la mahindi kibaigwa badala ya kutembelea mtambo ya umeme au hata bandarini kuangalia hali ya mafuta ambayo ndio matatizo yanayolisababishia taifa mfumuko mkubwa sana wa bei na maisha kuwa magumu sana kwa watanzania wa kawaida.kwa hali hii hayo mahindi tunayamudu vipi?. i wanted to post this as new threat but i failed
Ndugu zangu wa JF naomba mnisaidie hizi noti mbili zote zina sifa ya kuwa noti halali kwa malipo ya sh 500 tatizo zinaonekana kama zimetengenezwa na viwanda viwili tofauti nasema hivyo kwasababu mstari wa usalama kwenye noti moja umepita katikati ya 5 na 0 na noti ingine umepita juu ya 5 tatizo hili lipo kwenye noti nyingi sana za viwango vyote Tanzania tunaelekea wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.