How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
we sometimes think that poverty is only being hungry, naked and homeless. The poverty of being unwanted, unloved and uncared for is the greatest poverty, we must start in own homes to remedy this kind of poverty.
 
habari ndugu zangu watanzania mie nilikuwa naomba nichangie swala moja tu la udini,udini ndugu zangu ni mbaya sana udini unaleta machafuko,kubaguana,kunyosheana vidole na hili swala la udini linaletwa watu wachache wenye itikadi zao kwa maana ya maslahi tukitaka tuangaria heti fulani jina lake lina mlengo fulani wa itikadi jamani tutafika pabaya ukienda mashuleni,mahospitalini,maofisi,vyombo vya dora,mahakama,serikalini,vyamavya siasakila mtu anaitikadi yake binafsi sasa kwa nini mnataka kutugawa jamani tuyaangarie haya kwa makini nawakilisha kimpumu
 
Masikitiko, Masikitiko. Ndugu Mtanzania kila mara Rais na viongozi wake wanajigamba eti elimu Tanzania imepanda. Je kwa nini usiamini kupanda kwa elimu kunathibitishwa kwa kueli asilimia 80 kidato cha nne mwaka huu. Hongera rais huu ni mwanzo wa hali, nguvu na kasi zaidi.
 
kufeli kwa watoto wa shule za serikali, pamoja na kuchangiwa kwa kiasi kikubwa ubovu wa miundo mbinu ikiewmo uhaba wa madarsaa, ukosefu wa vitabu, maabara n.k, lakini pia baadhi ya walimu wanachangia kushindwa kwa wanafunzi. can u imagine mtoto yatima anaishi na mama tu ambaye pia ni mremavu anapata msaada wa karo, sare na vifaa vya shule lakini anafukuzwa eti afuate hela ya dawati kwa wiki tatu sasa wakati wenzao wanaendelea na masomo na wadawati tanabaki bila kuwa na watu wa kuyakalia. Je huyu mwalimu kweli anafaa kuitwa mwalimu?
 
Masikitiko makubwa kwa taifa kama Tanzania ambalo linatarajia kufikisha miaka hamsini ya uhuru hivi karibuni.

1. Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotoka hivi karibuni yanaonyesha kuwa zaidi ya asilimia hamsini ya watahiniwa wote Wamefeli mtihani!. Hii inanifundisha kuwa siasa na utaalamu ni vitu viwili tofauti kabisa hivyo ile dhana ya chama kushika hatamu naomba iwekwe kando ili Wataalamu wapewe nafasi ya kutekeleza majukumu yao kulingana na taaluma zao ni si msukumo wa kisiasa. Elimu bora si madarasa mengi au kujenga shule ya sekondari kila kijiji bali ni mkusanyiko wa mambo mengi ikiwemo Walimu bora, Miundombinu bora mashuleni na mfumo bora wa elimu toka chekechea hadi chuo kikuu. Watanzania tunatamani kuona hili likitendeka ili turudi kule kwenye Enzi za Mwalimu ambako mtoto akifaulu kwenda sekondari ya bweni mzazi anahesabu kuwa kuna mtaalamu mpya ametoka katika familia yake ambaye hatakuwa tegemezi tena kwa familia na taifa kwa ujumla wake.

2. Mvutano unaondelea Serikalini juu ya kama Dowans walipwe au wasilipwe hii inaonyesha kuwa maadili ya viongozi wetu yameporomoka kabisa na sasa wamekuwa wajasiriamali kwenye viti vyao na hawako kwa maslahi ya Taifa. Hakika kwa mwendo huu hatutafika tuendako.

3. Vitendo vya wizi wa kura na utawala wa kibabe unaoendelea sasa nchini mwetu havitatufikisha katika nchi ambayo waasisi wetu walitamani kuiona.

Amka Watanzania tuiokoe nchi yetu.
 
IMG0001.jpg IMG0007.jpg IMG0009.jpg IMG0004.jpg IMG0003.jpg IMG0008.jpg IMG0010.jpg IMG0006.jpg IMG0011.jpg IMG0012.jpg IMG0002.jpg IMG0013.jpg IMG0005.jpg i enjoy your transparency,and you show that power belong to people always
 
Wana JF, mimi naomba kuuliza kwa nini wana siasa wa Africa wengi hata kama akiona kwamba utawala umemshinda bado anang'ang'ania kuongoza hawataki kujiuzuru. Kwani mtu akijiuzuru Urais huwa hapati mafao yoyote kwamba alishawahi kushika urais labda kwa miezi 6 au miaka 5 na nusu? Nomba kufahamishwa
 
Salamu to all members wa JF nimejiunga kwa mara ya kwanza na JF baada ya kupendezwa na mambo yanayojadiliwa na wanaJF i like that, this is real a home of great thinkers.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom