How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
for my opinion think you can use it effectively by reading many articles and try to write your own.

Ndo hivyo tunaadhimisha miaka 50 ya uhura kwa maandalizi ya takribani miezi minne kwa KUSHEREHEKEA miaka 50 ya uhuru wa tanganyika,Bado mimi najiuliza TUNASHEREHEKEA au TUNASHEREHEKEWA????
Ninachokikumbuka ni kuwa mwl.nyerere tulipopata uhuru alisema kuwa tunao sasa maadui watatu ambao ni UJINGA,MARADHI na UMASIKINI.
Angalia tanzania ya leo yenye mbuga za wanyama,mito,maziwa,milima,madini na ardhi ya kutosha bado mtanzania(simaanishi vigogo)anaishi kwa nusu dola kwa lugha rahisi ningesema kwa kudra za mungu,tanzania ambayo wanawake na watoto wanaongoza kwa vifo kwa kukosa zahanati za kutoa tiba,zahanati zenye zaidi kg10000 ya dawa mseto iliyoisha muda wa matumizi,tanzania yenye idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika na wanaojua kusoma na kuandika hawana viwango vya kimataifa kwa sababu ya elimu ya upendeleo katika udhamini vyuoni,tanzania yenye misongamano ya magari katika miji mikubwa kama dar,tanzania ya giza kwa kuwepo katizo la umeme kama wanavyoita mgao licha ya kuwa na vyanzo vingi vya maji vitumikavyo kutoa umeme,tanzania yenye idadi kubwa ya vijana wasio na ajira,waliochoka na kwa ahadi za maisha bora wakaamua kuingia mtaani na kulu ganja na kuvaa mlegezo kama njia ya kujisahaulisha na maisha magumu,tanzania yenye askali wakali kwa kutandika watu virungu bila kuuliza wanahitaji nini na badaye inatajwa na watu tana bila aibu kuwa ni nchi ya amani niuluze mfano mdogo tu kama wachangiaji mnajua mtaniambia maana mimi hata sio kuwa sikumbuki hata pia sifahamu kuwa"askari waliouwa watu mgodini nyamongo mkoani mara wilayani tarime naarusha walichukuliwa hatua gani???,tanzania wenye idadi ya watu wache wenye hati milki ya ardhi tena yenye rutuba na inayostahili kilimo huku wengi wakiwa kwenye vipande vya tena vya uridhi na wakisema waongeze ukubwa wanauwa kuwa wamevamia hifadhi ya WANYAM!!!
Kwangu mimi uhuru wa miaka 50 tunaibiana bora hizo pesa zingetumika kuwanunulia wanafunzi vifaa vya kufundishia ktk shule za kata na kuajili walimu ktk shule hizo na kununua vivaa vya kujifungua kwa akina mama wanaokosa matibabu kisa vifaa pamoja na kuwafungulia vijana wa mtaani biashara ndondogo,hapo angalau ningeona uhura wa miaka 50 kuwa una maana
Usiishangae sms hii kuwa na makosa mengi kwa sababu tunajua wote kuwa internete wanatoza kulingana namuda hivo basi makosa sio yangu ila tu ni ya umuskini wangu kulipia net
NI AIBU KWA KWELI,IT PAINS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nafurahi kuwa member wa Jf lakini kama wengine walivyotangulia kusema kiukweli nami napata shida kidogo lakini naamini kila kitu kitakuwa vema maana ugeni nao unachangia pakubwa....

HAYA WADAU WOTE TULIOOMBA NAFASI ZA PSPF tafuteni Dailynews la Leo kuna Majina ya walioitwa kufanya written interview

Sorry wahusika kwanini jamiiforum imekuwa inachanganya sana mwanzoni?ungewekwa utaratibu simple usio na complications kama ilivyo sasa.

Jitahidini kwavile naamini kuna watu kibao wameshindwa kujiandikisha na kutuma labda vitu vya maana hapa.Maelezo hayajitoshelezi kabisa

inachanganya kidogo kwakweli Nafurahi kuwa member wa Jf lakini kama wengine walivyotangulia kusema kiukweli nami napata shida kidogo lakini naamini kila kitu kitakuwa vema maana ugeni nao unachangia

mkubwa nami nimehangaika sana ila nashukuru kwa kiwango cha kuridhisha nami nipo pamoja nami,2jitahidi tupeane hints

Hy jf memberz..m ni new member in here...pia nataka niulze km atomic dermatitis ama pumu ya ngozi hufanya ngozi kuwa nyeupe?! Pia km kuna dermatology yeyote naomba mnidirect kwake au kwa skin specialist mzuri.

hodi hodi waungwana naomba mnikaribishe mimi ni mgeni naomba msaada wenu wakujiunga nanyi japo sijui vizuri

Hey guys i'm a new kid in this system please hold me with you so that we can share what we have been given by the CREATER. Thank you all.

Back
Top Bottom