How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Nawashukuru wana jamii kwa harakati zenu nyingi tu mnazojitahidi kuzitoa kwenye jamii na kuwafumbua macho kwa wale wasiojua baadhi ya mambo
 
Hello JF,natumaini wote mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku,nimevitiwa na JF kwa jinsi ambavyo wanajitahidi kujadili mambo mabali mbali nakutoa mwamko kwa watu wengine,ni jambo jema ndugu wanapo peana mawazo na kusaidiana ili kusonga mbele ktk safari ya maisha,binafsi napendelea jukwaa la biashara ningependa wale ambao wako na interest kwenye eneo hilo tupeane mawazo nami nitajitahidi kuwa shirikisha kile nilichonacho
 
Hi!, mi ni mjumbe mpya katika jukwaa hili well nina swali, hivi vyombo vya habari vinavyo toa taarifa ambazo kwa kuangalia tu zinaonekana si za kweli wanachukuliwa hatua gani?, Mfano tumetangaziwa katika vyombo vya habari kuwa meli iliyo zama zanzibari ilikuwa na watu zaidi ya mia sita wakati ukijumlisha watu walio fariki na walio okolewa ni zaidi ya hao ?
 
Ningependa nianze kwa kuwapongeza wote waliounda hii Forum na wote walioifanya iwe hai mpaka leo wageni tunapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali yenye manufaa katika maisha yetu ya kila siku hapa duniani.Jingine ni kuwa mimi ni mgeni na ningeomba nipewe ushirikiano na wanajamii wenzangu.
 
I think it is high time we stop entertaining stupid government rhetorics worst of all the stupind condolences after a serious disaster to the nation.we have worst sort of leadership system of all times and the only problem is that people are under the blanket of fear of the ruthless state security.


Voters childrean go to the worst schools as politicians children enjoy the cream of academic excellence.

It is the poor voters that go to jail but the likes of rostam,manji not least to mention the likes of mkapa are walking scot free.i think this is not fair.i pray that these aristocrats won't wait that long as to put as into the gaddafi situation.

Honestlu speaking we would rather die like ken saro wiwa that cover up like a tortoise in fear of a thumping feet.


Wake up africa! Wake up kush! Mandeala had a dream as an individual just like nyerere and then they got a following so is you.wake up now fro a good course.
 
nawashukulu wana jf kwa michango yenu ya mawazo na current issue, hakika jamii mmeifumbua macho nimeamua kujoin. hi!!
 
Habari wana JAMII?jamani mwenye taarifa njema kuhusu wanunuzi au soko la MAFUTA YA ALIZETI naomba anijulishe.
 
Wapendwa wana Jamii,

Ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia michango yenu katika mtandao huu. Ukweli nimevutiwa na mfumo mzima wa mawasiliano na uchangiaji kwa ujumla. Nimeshawishika kujiunga na leo nimebahatika kujiunga. Ninaahidi kuheshimu taratibu na kanuni za mtandao huu kwa kuwa nimekubaliana nazo. Mungu ibariki Africa. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom