How to remove shortcut viruses in hard drives or flash drives

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Shortcut viruses zinakera sana kwa kweli, unakuta mtu una mafaili yako unamwazima mtu flash au external yako af unakuta mafaili yote yamekua shortcut hayafunguki yameliwa. kwaio wakuu ngoja kidogo tushee kuhusu ili swala.
Njia ya kwanza simply nikutumia ubuntu ambapo unaduplicate files/folders nakuhamisha mafaili yako then unadelete yote yale yenye shortcuts. Njia ya pili ambayo nimeipata kwa msaada wa website ya kiosk ni kama ifuatavyo:

Step 1:

Click on the below link and download the file "AutorunExterminator"

Download Autorun Exterminator free | Kioskea.net

Extract it --> Double-click on "AutorunExterminator" --> Plug your flash drive now.

This will remove the autorun.inf files from your flash drive and also from drives.

Step 2:

Click on "Start" -->Run --> type cmd and click on OK.

Here I assume your flash drive letter as G:

Enter this command.

attrib -h -r -s /s /d g:\*.*

You can copy the above command --> Right-click in the Command Prompt and

paste it.

Note : Don't forget to replace the letter g with your flash drive letter.

Now press "Enter".

Now check for your files in Flash Drive.

Ni hayo tu wakuu wangu,usiku mwema!
 
Nimejaribu mkuu...haifanyi kaz shortcut znabaki palepale na file hazionekanii...imebidi nibadilishe settings ya ku view hidden files ndo nikapata files zangu...baada ya ku scan!
 
it worked for mee mkuu. umedownload iyo autorun terminator? alaf zingatia kwenye zile commands pale
 
'-h ' is not recognized as an internal or external command, operable program or batch file

Napata msg hiyo mkuu
 
Just go to folder options then badala ya kuweka view hidden files,weka view system files!Then ukishafanya hivyo utayaona mafaili yako yote ambayo yalikuwa hidden then copy hivyo vitu na uweke kwenye folders mpya,then delete hizo hidden folders na shortcuts!Belivdat
 
Shortcut viruses zinakera sana kwa kweli, unakuta mtu una mafaili yako unamwazima mtu flash au external yako af unakuta mafaili yote yamekua shortcut hayafunguki yameliwa. kwaio wakuu ngoja kidogo tushee kuhusu ili swala.
Njia ya kwanza simply nikutumia ubuntu ambapo unaduplicate files/folders nakuhamisha mafaili yako then unadelete yote yale yenye shortcuts. Njia ya pili ambayo nimeipata kwa msaada wa website ya kiosk ni kama ifuatavyo:

Step 1:

Click on the below link and download the file "AutorunExterminator"

Download Autorun Exterminator free | Kioskea.net

Extract it --> Double-click on "AutorunExterminator" --> Plug your flash drive now.

This will remove the autorun.inf files from your flash drive and also from drives.

Step 2:

Click on "Start" -->Run --> type cmd and click on OK.

Here I assume your flash drive letter as G:

Enter this command.

attrib -h -r -s /s /d g:\*.*

You can copy the above command --> Right-click in the Command Prompt and

paste it.

Note : Don't forget to replace the letter g with your flash drive letter.

Now press "Enter".

Now check for your files in Flash Drive.

Ni hayo tu wakuu wangu,usiku mwema!

emu elezea hiyo autorun exterminator unaitumia je
maana mm imekataa lkn hiyo ya codes imekubali
 
other command lines are best to recover the shortcut files,

The best way to remove the virus, is to know the ENEMY, kama mimi adui yangu ni autorun.inf bas command ni hii
attrib -h -r -s g:\ autorun.inf (enter)
del g:\autorun.inf
enter
 
Back
Top Bottom