Kilongwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 423
- 115
NI mara nyingi unakuwa na presentation labda Lab au darasani,tatizo linalowakuta sana watu ni kuwa utakuwa computer za Lab hazina software unazohitaji au kuna wakati unakuta version ni tofauti hivyo kusababisha muonekano tofauti.
Ahsante Microsoft kwa kuwa wana hii feature ya remote desktop connection,hapa huitaji software yoyote vle,ni PC iliyo na Windows OS tu.
Kwa kufuata simple steps unaweza kulifanikisha hilo kama ifuatavyo
I.Kitu cha kanza ni unatakiwa kujua IP address ya computer yako
Kama unajua IP address ya computer yako basi nenda second stage,la fuata maelekezo.Haya maelekezo yatabase sana kwa XP au Windows server ingawa hata vista tofauti ni monekano ila almost kila kitu ni sawa.
1.Click start
2.Halafu click run
3.Then andika CMD
4.Katika comand mode andika 'ipconfig'
-Utapata IP address yako kama inavyoonesha picha,note IP yako kwani baadae tutaitumia
II.Kubadilisha setting za System properties:
1. Click Start > My Computer > Right Click mouse yako
2. Utaona "System Properties" window, click "Remote" tab.
3. When you see two check boxes, please tick both of them.(moja inaandika Remote Assistance na nyingine inasema Remote Desktope)
4. Then click "OK"
III.Kubadilisha setting katika Registry:
1. Kama kawa nenda Start > Run
2. Type "regedit"
3. Tatuta folder katika mpangilio ufuatao
MyComputer\HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Control\Terminal Server\WinStations\RDP-Tcp
4. Click "Port Number"
5. Badilisha port number kwenda22 ( kama server yako inasupport 80 or 90, you do not need to change this. kuna baadhi ya vyuo hawaruhusu wanafunzi kuaccess port 80, and port 90. Therefore, when you face that problem, you can use port 22 instead of port 90 and 80).
IV:Kubadilisha Windows Firewall setting:
1. Please go to Start > Control Panel >Security Center
2. Click "Windows Firewall"
3. nenda kwenye "Exceptions" tab
4. Kama unataka kutumia port 22. Click "Add Port"
5. Fill name "Port 22" and Port number "22"
6. Halafu, click "OK"
Hongera,umemaliza setting on your remote computer.
hehe,nimesahau kukuambia kitu kimoja hapa.
Before you access your computer from another computer, you have to Ili uweze kulogin kwa kutumia remote computer unatakiwa kubadilisha user login,kuna baadhi ya watu huwa wanatumiapassword kwenye computer zao kipindi inawaka ili mtu aweze kuaacess,ssa kwa sasa utaiaccess kutumia Internet vivo mabadiliko ni lazima.
If your window needs to fill name and password,computer yako haitaconnect at that stage.
Hivyo, you cannot connect your remote computer.
1. Please go to Start > Run
2. Type "control userpasswords2"
3. Kama user account have a tick in the check box, please make untick
Now you can access your computer from another computer.
1.Start > run >mstsc
2.Then weka IP address ambayo umeipata tokea step one, then ready to go, kama unataka more options unaweza click option.
Troubleshooting:
Kuna wakati connection huwa inasumbua haswaa kama unatumia vista so jaribu kucheki configurations zako,haswaaa firewall na pia unaweza kutumia TSGS.HIli tatizo limenitokea sana nakumbuka kuna siku niligombana na jamaa nilipoweka Server yangu nikawaambia ninyi ni wezi inakuwaje munasema kwenu inaconnect ila kwangu inashindwa?? baada ya kucheck sana nikagundua kuwa sometimes windows by default hairuhusu remote connection,so kama hii ikikutokea nenda control panel >add and removal >remove windows components then enable remote access,hii ni kuwa Vista huwa inazuia hata client kama unavyojua telnet haipo active by default kwenye Vista.
Natumaini utakuwa umefaidika na hiki kajipande kadogo.
For knowledge and other ICT topics please tembelea Afroit

Last edited: