HOW TO DUMP SOMEONE ''after having committed myself into serious relationship''

Tell them in face if they cant understand what being in serious relationship means!!
After all they heard that you damped them on the day you went public to marriage!
 
hii kitu muhimu sana wakati ndo kwanza umeoa au umeolewa
manake kuna maswahiba wengine nafikiri hawafikirii kaa mwenzao sasa majukumu na kipa umbele kimebadilika

rafiki anaweza kukwambia kila weekend mkajirushe huku mama watoto na mtoto mchanga anabaki peke yake!
 
humo humo...!

hapa mzee umeua.....
 
Man you are in. You can do the following things:
1. Rejea lile eneo ambalo uliweka nae mkataba wa mahusiano. Inawezekana ikawa ni nyumba ya wageni au sehemu yoyote ile, itakuwa vizuri kama utamwita huyo mlengaw wako eneo hilo. Asigundue unataka kufanya nini. Akifika mpe good time yaani mazungumzo ya kukumbusha siku ile, chakula safi, no sex siku hiyo. Lengo nikukumbuka siku hiyo. Ukiwa na hakika umekumbuka kwa zaidi ya asilimia 75 PASU JIBU. Mwache na ondoka mara. Fika nyumbani ukiwa na daftari na peni jifungie chumbani au popote penye faragha aandika yale yote unayoweza kukumbuka juu ya uhusiano wenu. Si rahisi ila kama utaweza fumba macho na ukiwa OK utapata live memories za uhusiano wenu. Ziludie kumbukumbu hizi hadi ziishe nguvu na zi baki historia. Zingatia kauli zako ulizomtamkia. Hilo daftari ikiwezekana choma, kwani hizo kumbukumbuku zilipaswa kuw katika akili yako na si maandishi.

UKIFANYA VIZURI HILI ZOEZI, BILA SHAKA UTAFUNDISHA NA WENGINE.

Niliwahi kumsaidia binti mmoja nikiwa meneja kwenye kampuni fulani binafsi. Binti huyu alikuwa mchapa kazi lakini hali ilianza kubadirika katika utendaji kazi wake. Ndipo nilipo amua kumdodosa na kujua kwamba anatak kuvunja uhusiano wake na mpenzi wake ambaye amemsaliti lakini alikuwa hajui afanye nini. Ndani kabisa alikuwa bado anmpenda, wakati hali halisi kwa wakti ule ni kwamba hawezi kuwa nae tena. Kwa kuwa nilikuwa nae hapo ofisini nilitumia dozi tofauti kumtibu na nikamuuliza je ameshamfikiria yupi wa kuwa nae, alipo niambia basi nikamsaidia tena katika hilo. Huu ni mwaka wa tano wako kweny ndoa.

INAWEZEKANA KUACHANA NAE IF YOU HAVE THE TECHNOLOGY, TOOLS AND SKILL. hivi sasa unavyo HAYA ENENDA ZAKO UKAFANYE KAMA NILIVYOKUELEKEZA.... UTANIAMBIA
 
ahsante mwalimu!.....
 
Hapa unafutwa ushauri za kutoumiza wale tulijikomit kwao! FL How can someone be dumped conviently?

sasa kama ulishajikomiti/amejikomiti utaachaje kumuumiza? nadhani muwape ukweli tu japo unauma, mie niliumiaga sana enzi hizo, nilipewa live....mweh kupenda nako kazi nzito.
 
Kazi za nje ni ngumu kweli kuziacha aisee inataka ujasiri wa kutosha ati
 
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i

can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!

ahsanteni sana

WELCOME TO JF PHASE II

sio sifa to mislead people!!

it doesnt make you any smarter!...

stop wasting peoples' time!!!
 
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!

ahsanteni sana

WELCOME TO JF PHASE II

Masikini Geoff.... Njooni kwenye maombi.... "the dumper and the dumped" - Amani iwe kwenu
 
Hii JF mpya naona inanizengua. Mathread yanapita tuuuuuuu!
Mayuzifuli posti kama haya sikuyaona.
Ushauri wangu.....? You know where to find me.....

Hede hede hede......!
 
ahaaaa jamani hata siwani siku hizi
yaani Icant see u wapwaaz wala uziful threads wala favorite button

basi mie nimeamua kwenda likizo sasa, wasalimie wengine biggy!!
 
hii jf mpya naona inanizengua. Mathread yanapita tuuuuuuu!
Mayuzifuli posti kama haya sikuyaona.
Ushauri wangu.....? You know where to find me.....

hede hede hede......!

hedee mshikiii hedeeeeeeeeeeeee
hedee hedee hedeeeeeeeeeeeeee
hedeee zuma hedeeeeeeeeeeeeee
hedee hedee hedeeeeeeeeeeeeee
hede sekretari jenero hedeeeeee
hedee hedee hedeeeeeeeeeeeeee
hedeee matesha hedeeeeeeeeeee
 
ahaaaa jamani hata siwani siku hizi
yaani Icant see u wapwaaz wala uziful threads wala favorite button

basi mie nimeamua kwenda likizo sasa, wasalimie wengine biggy!!
Dah we acha tu mamushka.
Mpaka tulizoee hili li uwanja tutakuwa tushapigwa mabao mengi sana!
 
hedee mshikiii hedeeeeeeeeeeeee
hedee hedee hedeeeeeeeeeeeeee
hedeee zuma hedeeeeeeeeeeeeee
hedee hedee hedeeeeeeeeeeeeee
hede sekretari jenero hedeeeeee
hedee hedee hedeeeeeeeeeeeeee
hedeee matesha hedeeeeeeeeeee

Hede hede hedeeee!
Hede valuu hedeee
hede hede hede
Hede miksa hedeee!
Hede hede hede
Hede tuk tuk hedee!
Hede hede hedeeeee

Sore kwa off topik sasa turudi kwenye mada
Jinsi ya kumdampo nanihii siyo?
Ngoja nitafakari kwa kina......
Will be back shortly..........
 
hehehehe!naendelea na mada!hawa watu HAWADAMPIKI!....kwa namna ulivyokwepa kwepa jibu nimegundua wewe ni mzee wa ''OCEANIC''
 
Hede hede hedeeee!
Hede valuu hedeee
hede hede hede
Hede miksa hedeee!
Hede hede hede
Hede tuk tuk hedee!
Hede hede hedeeeee

Sore kwa off topik sasa turudi kwenye mada
Jinsi ya kumdampo nanihii siyo?
Ngoja nitafakari kwa kina......
Will be back shortly..........

hahahaha yaani Binamu mie naumwa kichwa kila nikiingia labda baadae tutazoea haya maisha wajua mwanzo mgumu
 
considering the fact kwamba i am now SERIOUSLY committed myself to me,my life,my family and i

can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!

ahsanteni sana

WELCOME TO JF PHASE II
Geoff, I thought you were a man??
But if you can maintain that you are a man, how do you want to dump another (guy)(external work)? or are you.......!!!!!???
 
tatizo lenu wabongo hata kingereza hamjui!
GUYS ni nani?.......mtu akisema ''..hello guys!....'' ana maana gani?
pole sana
nadhani wewe una stress za box
 
Back
Top Bottom