HOW TO DUMP SOMEONE ''after having committed myself into serious relationship''

hahahaha yaani Binamu mie naumwa kichwa kila nikiingia labda baadae tutazoea haya maisha wajua mwanzo mgumu
Ukizingatia nimesahau mawani yangu. Nabata ushungu balahi!
Hili sijui kama ntalizoea na haya mahangover yangu. Tusubiri tuone.
 
can someone please give me tips on HOW TO DUMP A GUY(external works).......?!II

Dah kazi za nje kuzipotezea ni shughuli mkuu.
Ipo siku utakumbwa na ukata hizo ndizo zitakusaidia hapo cha kufanya unapunguza tu speed.
 
Geoff, I thought you were a man??
But if you can maintain that you are a man, how do you want to dump another (guy))(external work)? or are you.......!!!!!???

Hiyo red hiyo...... Ni abomination au kiingereza kinakupiga chenga?
Au unafikiri guy ni...... au gay ni.....
Any way ngoja nisipoteze muda wangu bure.
 
Mucha as I am not in any process od dumping any friend of mine....then I keep quiet here
 
KAIZER NDO HAWEZI KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!....according to fidel80:D
 
hii kitu muhimu sana wakati ndo kwanza umeoa au umeolewa
manake kuna maswahiba wengine nafikiri hawafikirii kaa mwenzao sasa majukumu na kipa umbele kimebadilika

rafiki anaweza kukwambia kila weekend mkajirushe huku mama watoto na mtoto mchanga anabaki peke yake!


Gaijin Post yako imetoa ufafanuzi zaidi kuhusu tatizo la G. Wengi hatukulielewa.

Geoff Rafiki ambaye haelewi commitments ulizonazo katika familia yako na kukuweka busy nje kila wakati basi si rafiki, hakutakii mema. Panga ratiba yako na mfahamishe wazi kuwa mambo ya external bsns unayapunguza, unalea ndoa yako. Outings ziwe na wife zaidi, zingine ziwe za business tu!
 
Back
Top Bottom