How to copy/scan x-ray pictures

Akthoo

JF-Expert Member
Nov 5, 2007
999
1,018
How to get copy of xray pictures
Tafadhali nisaidieni jinsi ya kutoa nakala ya picha za X ray au hata kuziscan ili niweze kuzituma
kwa Dr. aliye mbali ili aweze kutoa tathmini yake.
 
Jaribu kuidumbukiza kwenye scanner na scan kama kawaida, au na karatasi nyeupe juu yake. Ikigoma hiyo ibandike kwenye light box au dirisha linalopigwa na jua kisha ipige picha na digital camera.
 
How to get copy of xray pictures
Tafadhali nisaidieni jinsi ya kutoa nakala ya picha za X ray au hata kuziscan ili niweze kuzituma
kwa Dr. aliye mbali ili aweze kutoa tathmini yake.

Njia nyepesi kwa huyo Dr wako ni mkumtumia nzima nzima...ama ni yale makubwa kama masikio ya Tembo Mzee?
 
kapige ya pili umtumie kwa post office kwasabu haitoki copy wala uki scan hakitoki kitu
 
Nawashukuru wote mliochangia mawazo;Ahsanteni sana!!!
Kwa yeyote mwenye shida kama yangu njia bora ni ile ya pili aliyotoa Mr. Kang, yaani kutumia 'Digital camera kupiga picha zile X-ray image' baada ya kuziweka kwenye Light box na baadae unazi'download' na kuzi 'attach' tayari una soft copy!
Cheers!
 
Back
Top Bottom