How much is to rent a flat in kariakoo??

Dodo18

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
315
93
Hope wote mpo wazima. Natafuta nyumba ya kupanga, lakini iwe maeneo ya kariakoo, but then kuna dalali mmoja kanikatisha tamaa kaniambia sintopata chini ya $600 mpaka $700 tena in dollars na hiyo ni bei ya chini. Sasa sijui ni tapeli tu au kweli?
 
There is a flat at Gerezani, Sikukuu / Kipata Street 1st floor. TZS 650,000 per month to be paid 12 months in advance if you are interested pm.
 
Hizo ndy bei za k'koo mkuu! anzia lak6 kwenda mbele!
 
Je unaweza ukapata chini ya hapo kama laki 3 hivi?
 
wakuu, hebu wekeni sawasawa hii maneno.................... hizo dola 600+ ni ..........................
1. apartment ya ukubwa gani/vyumba vingapi? .....................au
2. ni floo space ya ukubwa gani? .....................
3. kwa biashara/ofisi au kuishi (residential)?.......................
 
There is a flat at Gerezani, Sikukuu / Kipata Street 1st floor. TZS 650,000 per month to be paid 12 months in advance if you are interested pm.
Yeah niko intrested, but i think the price is too high. Haishuki chini ya hapo, maybe at around 300 to 350?
 
Duh! Asalalee! Thats like my whole monthly pay..Hiyo bei sitoiweza mamii, mi nataka for 300 to 350
 
Back
Top Bottom